JOBS September 3, 2026
MTEKNOLOJIA MAABARA DARAJA II ( HEALTH LABORATORY TECHNOLOGIST GRADE II) at MDAs & LGAs
September 3, 20261 min read
Job Overview
Employer: MDAs & LGAs
Advert reference: Ajira #14154
Role: MTEKNOLOJIA MAABARA DARAJA II ( HEALTH LABORATORY TECHNOLOGIST GRADE II)
Open posts: 25 positions
Published: 03 September 2026
Deadline: 17 September 2026
Salary scale: TGHS B
Duties and Responsibilities
- Kupima sampuli zinazoletwa maabara.
- Kuhifadhi sampuli zinazotakiwa kufanyiwa uchunguzi au kupelekwa Maabara za ngazi za juu.
- Kufanya kazi za ukaguzi wa maabara, vitendanishi, vifaa, kemikali na hifadhi ya kemikali.
- Kuweka kumbukumbu za maabara ambazo zimepatikana wakati wa uchunguzi.
- Kufundisha watumishi walio chini yake.
- Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake
Qualifications
Kuajiriwa wenye Stashahada katika fani ya Uteknolojia wa Maabara za afya kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali, ambao wamesajiliwa na Baraza la Waatalam wa Maabara.
How to Apply
Submit your application through the official Ajira Portal. Use the advert reference above if the portal opens at the vacancies list.