TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA MJI BARIADI
tangazo la kuitwa kwenye usaili halmashauri ya mji bariadi is an official call for interviews published by Ajira Tanzania on 09 November 2026.
Announcement Details
Announcement type: Call for Interviews
Official reference: f4492ad6-47df-4c77-a71d-6c556d71d05a
Tangazo La Kuitwa Kwenye Usaili Halmashauri Ya Mji Bariadi
Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Tawala Za Mikoa Na Serikali Za Mitaa
Halmashauri Ya Mji Bariadi
Fa.288/613/01/L/010 09/11/2026
Tangazo La Kuitwa Kwenye Usaili
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Bariadi anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili
unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 16/11/2026 hadi 17/11/2026 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi
watakaofaulu usaili huo. Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-
1. Usaili utafanyika kuanzia tarehe kama ilivyooneshwa kwenye tangazo hili muda na sehemu ambapo usaili
utafanyika umeainishwa kwa kila Kada.
2. Kila msailiwa anatakiwa kufika kwenye eneo la usaili akiwa amevaa Barakoa (Mask).
3. Kila Msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi.
Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Mkazi, Kitambulisho cha Mpiga kura,
Kitambulisho cha kazi, Kitambulisho cha Uraia, Hati ya kusafiria, Leseni ya Udereva au barua ya
utambulisho kutoka Serikali ya Mtaa/Kijiji anachotoka.
4. Wasailiwa wanatakiwa kufika na VYETI VYAO HALISI, kuanzia cheti cha kuzaliwa, kidato cha IV, VI, Astashahada,
Stashahada, Stashahada ya Juu, Shahada na kuendelea kutegemeana na sifa za nafasi husika.
5. Wasailiwa watakaowasilisha ‘Testimonials, Provisional Results, Statement of results’, hati za matokeo za kidato
cha IV na VI (‘form IV and form VI results slips’) HAVITAKUBALIWA NA HAWATARUHUSIWA KUENDELEA NA
Usaili.
6. Kwa kada ambazo wanatakiwa kusajiliwa na Bodi za Kitaaluma wanapaswa kuja na vyeti vyao Halisi vya Usajili
pamoja na Leseni za kufanyia kazi.
7. Kila msailiwa atajigharamia kwa Chakula, Usafiri na Malazi. Aidha kila msailiwa anapaswa kuhudhuria usaili akiwa
na mavazi nadhifu na yenye staha kulingana na Waraka wa mavazi.
8. Kwa wasailiwa waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe Vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na Mamlaka
husika (kama TCU, NACTVET au NECTA). Wasailiwa wa kada zinazohitaji ‘GPA’ waliosoma nje ya Tanzania
wawasilishe cheti cha ukokotozi wa GPA kutoka TCU.
9. Wasailiwa ambao hawajaona majina yao kwenye tangazo hili wanapaswa kuingia kwenye akaunti zao za ‘Ajira
Portal’ na kuona sababu za kutokuitwa kwao ili wasikose fursa wakati mwingine.
10. Wasailiwa wote walioitwa kwenye usaili wahakikishe wanaingia kwenye akaunti zao na kunakili namba ya usaili.
Aidha wasailiwa watakaofanya usaili wa mchujo kwa njia ya Mtandao wanapaswa kukumbuka barua pepe (email
address) na nywila (password) zao wanazotumia katika mfumo wa Ajira Portal.
11. Wasailiwa ambao majina yao yanatofautiana katika nyaraka zao wanapaswa kuwasilisha Hati ya Kiapo cha
Kubadili Jina (Deed Poll) iliyosajiliwa na Wizara ya Ardhi.
12. Waombaji wote wa kazi wanakumbushwa kuwa ni marufuku kutoa au kupokea rushwa kwa lengo la kupata ajira au
kupangiwa kituo cha kazi. Mchakato wa ajira unazingatia misingi ya haki, usawa, na uwazi, kwa kuzingatia sifa
stahiki zilizoainishwa katika tangazo la kazi husika na muundo wa utumishi wa idara inayohusika.
Ratiba Ya Usaili Alama Za Barabarani
Mwajiri Kada Tarehe Ya Usaili Mahali
Halmashauri ya Mji Bariadi DEREVA DARAJA II 2026-11-16 07:00:00 Ukumbi wa Halmasahauri ya
(DRIVER II) Mji Bariadi
Ratiba Ya Usaili Vitendo
Mwajiri Kada Tarehe Ya Usaili Mahali
Halmashauri ya Mji Bariadi DEREVA DARAJA II 2026-11-16 11:00:00 Uwanja wa sabasaba(CCM)
(Driver Ii)
Ratiba Ya Usaili Mahojiano
Mwajiri Kada Tarehe Ya Usaili Mahali
Halmashauri ya Mji Bariadi DEREVA DARAJA II 2026-11-17 07:00:00 Ukumbi wa Halmashauri ya
(DRIVER II) Mji Bariadi
1
Mwajiri: Halmashauri Ya Mji Bariadi
Kada: Dereva Daraja Ii (Driver Ii)
Tarehe Ya Usaili Wa Alama Za Barabarani: 2026-11-16 07:00:00
MAHALI: Ukumbi wa Halmasahauri ya Mji Bariadi
Tarehe Ya Usaili Wa Vitendo: 2026-11-16 11:00:00
MAHALI: Uwanja wa sabasaba(CCM)
Tarehe Ya Usaili Wa Mahojiano: 2026-11-17 07:00:00
MAHALI: Ukumbi wa Halmashauri ya Mji Bariadi
. .
1 EDWARD SARATIEL P.O Box 0, 2 BARACK ZEPHANIA P.O Box 1234,
MAHINYILA DODOMA CHILANGWA Dodoma, Dodoma
3 AUGUSTINO NICKSON P.O Box 735, 4 PETER DICKSON P.O Box 77113,
JUMA Ilemela, Mwanza NGORONGO DAR ES SALAAM
5 NELSON PETER SHAYO P.O Box 200, 6 MRISHO SELEMANI P.O Box 174,
IRINGA DULE Tabora, Tabora
7 SUMBUSHO PAULO P.O Box 20, 8 EDWIN BUKOMBE P.O Box 43,
BITEGE KAGERA BAHATI Kibondo, Kigoma
9 ALLY KHAMIS ALLY P.O Box 1333, 10 BARIKI RUBENI YAREDI P.O Box 1249,
Nyamagana, DODOMA
Mwanza
11 PHIDELICE PHILIP P.O Box 84, 12 ABDULMALICK P.O Box 284, GEITA
Sulle Arusha Ramadhan Hussein
13 LUCAS ALBERT Arusha 14 MISHITA BARAKA P.O Box 1249,
Cosmas Mishita Dodoma
15 IDDI HEMED RASHID P.O Box 174, 16 HUSSEIN SALEHE P.O Box 617400490,
Tabora Katambo Dar Es Salaam
17 ARAFAT SALUM P.O Box 84, 18 ELLY JAPHET P.O Box 30112,
NASSORO TABORA MWAISENYE Kibaha, Pwani
19 THOMAS DARUSHI P.O Box 19, 20 JOHN SIMON MAGANGA P.O Box 274,
Masunga Tabora Shinyanga
21 KHALIDI SHABANI P.O Box 4912, 22 BIGAMBO PETER MTAKI P.O Box 15101,
MTORI Dodoma, Dodoma DAR ES SALAAM
23 BAKARI MASUDI P.O Box 377, 24 RAMADHANI SHOMARI P.O Box 0, DAR ES
NAMEMBE Newala, Mtwara KIBWANA SALAAM
25 MICHAEL JOHANES P.O Box 4347, Ilala, 26 TUMAINI PAUL MLAY P.O Box 12,
BALIYANGA Dar es Salaam Sengerema, Mwanza
27 ADAMU JUDICA MBISE P.O Box 20, 28 STANLEY NESTORY P.O Box 992,
Arusha Mujunangoma Morogoro
29 LONGINUSS ODDO P.O Box 7, NJOMBE 30 JOSEPH EUPHRAHIM P.O Box 0, DAR ES
Ngundala Uhinga Salaam
31 AYONGELE ARKIPO P.O Box 31902, 32 ABOUBAKAR ABDULRA P.O Box 9150, DAR
Ikwataki Dar Es Salaam Haman Jabbah Es Salaam
33 ERICK EVANS RUSABI P.O Box 35708, 34 THEONEST SHILING P.O Box 149,
KAGERA GREGORY Mbeya, Mbeya
35 CHRIS SILVIN MAJENGA P.O Box 52, 36 ABEL SHAO JOHN P.O Box 200, MARA
Kilimanjaro
2
. .
37 HASSAN RAMADHAN P.O Box 31902, 38 RICHARD RUBEN P.O Box 19,
Msangi Dar Es Salaam Darushi Tabora
39 YASINI ISMAILI JAFARI P.O Box 350, 40 JOSEPH SINGIRA P.O Box 164, MARA
Dodoma, Dodoma RHOBI
41 FREDRICK ADELGOT P.O Box 45418, 42 SUMUNI MAGOTI P.O Box 1350,
Ngonyani Dar Es Salaam Charles Mwanza
43 HUSSEIN ALLY P.O Box 0, PWANI 44 MZEE ADINURI MZEE P.O Box 287,
Athumani Dodoma
45 ABDULAZIZ IDRISA P.O Box 0, DAR ES 46 PRONETH PROSPER P.O Box 0, DAR ES
Kazai Salaam Tairo Salaam
47 KARIMU HAMISI P.O Box 03, 48 ABDALLAH ATHUMANI P.O Box 453,
TARATIBU Tandahimba, Mtwara KAGYA Karagwe, Kagera
49 FILBERT MAURUS P.O Box 61200, 50 WINSTON ANDREW P.O Box 41, SIMIYU
Msanga Dar Es Salaam Mhango
51 JAPHET PAULO P.O Box 65, DAR 52 BARAKA ALBINUS P.O Box 11209,
Chengula Es Salaam Gration Kagera
53 FARIDU SEFU P.O Box 2623, 54 PIUS JOHN TARIMO P.O Box 0, RUVUMA
Kinanguka Arusha
55 GABRIEL GOODLACK P.O Box 941, 56 BLESSING WILIAM P.O Box 1249,
Kanuwa Dodoma Magubo Mwanza
57 JASTINI JEREMIA P.O Box 44, 58 ALFRED EZEKIEL P.O Box 45232,
NICORAUSI KIGOMA ZEPHANIA Temeke, Dar es
Salaam
59 ABDALAH AMINI P.O Box 7058, DAR 60 CALVIN ATHANAS P.O Box 6369,
Masongela Es Salaam Nibengo Mwanza
61 FATIUS FULGENCE P.O Box 307, 62 MASHAULI MASULE P.O Box 1333,
ALOYCE Nyamagana, HAMIS MWANZA
Mwanza
63 JOHN JULIUS ISAKA P.O Box 1629, 64 JOSEPH DAUDI P.O Box 90,
Dodoma Bunyoga Kilimanjaro
65 JOHN MAXIMILIAN P.O Box 516, 66 BWIRE ELIAS MARINDI P.O Box 24, MARA
MALIMBA Mpanda, Katavi
67 THEODOSIUS 68 SITTA JILONDERA P.O Box 1988,
DEUSDEDIT MKWAWE PHINIAS Bariadi, Simiyu
69 HENRY FRANCIS P.O Box 526, 70 REGINALD ANDREA P.O Box 443,
BUSALI SIMIYU MAGANI Masasi, Mtwara
71 BARAKA TRECEPHORY P.O Box 162, 72 DISMAS ISSACK P.O Box 433,
Ngole Iringa Tuyangine Morogoro
73 MUSHOMARI SHEHA P.O Box 2958, DAR 74 CHRISGONAS JOHN P.O Box 1068,
GOGO ES SALAAM MSASA Arusha, Arusha
75 BENJAMINI EZEKIEL P.O Box 1, 76 SAMSONI BONIFACE P.O Box 149,
Benjamini Morogoro Mang'Ombe Mbeya
77 GUSA RASHID MUSIRA P.O Box 735, 78 NEEMA DANIEL P.O Box 30112,
Mwanza Magambo Pwani
79 ABDALLAH ALLY P.O Box 0, PWANI 80 SABRI MOHAMED P.O Box 20950,
Mkumbila Jaribu Dar Es Salaam
81 HAMZA MOHAMED P.O Box 22, 82 SOSPETER FESTUS P.O Box 145,
LITWIRO MOROGORO MASALU Bariadi, Simiyu
3
. .
83 JAMES LAZARO P.O Box 735, 84 SAMWELI KINYANGULI P.O Box 1069,
PROTAS MWANZA WILLIAM Musoma, Mara
85 ALBERT GREGORY P.O Box 315, 86 DAUDI PETRO MIPAWA P.O Box 526,
Werema Dodoma Simiyu
87 STEPHEN MUHONI P.O Box 416, GEITA 88 EMMANUEL LUCAS P.O Box 194,
WAHIKA MAJIRA Musoma, Mara
89 AMBWENE EDSON P.O Box 107, 90 BARAKA RAPHAEL P.O Box 55068,
MWANSASU RUVUMA SANGA Ubungo, Dar es
Salaam
91 AHMADI KHAMISI NANDI P.O Box 701, 92 FITINA ZANZIBAR P.O Box 44,
Mwanza Nyamlala Mwanza
93 ABUBAKARI MOHAMEDI P.O Box 166, 94 MUZAMIL ABDUL P.O Box 66550,
KUNGA MOROGORO DUGARA Kinondoni, Dar es
Salaam
95 EMMANUEL BWIRE P.O Box 1360, 96 REVOCATUS KAMUGIS Dar es Salaam
William Mara Ha Evodius
97 STEVEN NASSON P.O Box 4444, 98 HAFIDHI SALUM SAID P.O Box 55105,
Daniel Dodoma Dar Es Salaam
99 PASCHAL JOSEPH P.O Box 221, 100 FRANK JOHN MGEJA P.O Box 90049,
Vicent Tabora Dar Es Salaam
101 SAID HUSSEIN SAID P.O Box 55, 102 SALUM MUSSA P.O Box 1288,
RUVUMA MFAUME Kishapu, Shinyanga
103 LEONARD GEORGE P.O Box 1249, 104 BARIKI JOHN GIDEON P.O Box 220,
Mayembuka Dodoma Dodoma
105 LUSEKO REUBEN P.O Box 1452, 106 BARAKA ALMON P.O Box 205,
MSHANA KILIMANJARO MSALILWA Mufindi, Iringa
107 ATRIO SHANA P.O Box 229, 108 ERNEST GERALD P.O Box 26,
BALTAZAR Manyoni, Singida FRANK SHINYANGA
109 JOHN BARU MAGABE P.O Box 1207, 110 EMMANUEL ANDREW P.O Box 45, Tarime,
MARA OWINO Mara
111 STEPHEN CHARLES P.O Box 10000, 112 REVOCATUS BONIPHAC P.O Box 735,
MAGINA ARUSHA E MASINDE Ilemela, Mwanza
113 SAMWEL DANIEL P.O Box 112, MARA 114 TIMAMU YUSUPH LOYA P.O Box 123, DAR
Sibora Es Salaam
115 CHARLES ANATORY P.O Box 28, 116 FRANSISCO CHARLES P.O Box 225,
HANU Shinyanga, Shinyang LUKONA Bunda, Mara
a
117 DICKSON ELIA KILONZO P.O Box 232, MARA
Limetolewa Na;
Mkurugenzi Wa Mji
Halmashauri Ya Mji Bariadi
4
Official Source
Verify names, dates, requirements and instructions in the official PDF published by Ajira Tanzania.
Opportunity status: Deadline not provided
