AFISA MISITU MSAIDIZI DARAJA LA II (ASSISTANT FOREST OFFICER GRADE II) at MDAs & LGAs
Job Overview
Employer: MDAs & LGAs
Advert reference: Ajira #14160
Role: AFISA MISITU MSAIDIZI DARAJA LA II (ASSISTANT FOREST OFFICER GRADE II)
Open posts: 28 positions
Published: 03 September 2026
Deadline: 17 September 2026
Salary scale: TGS C
Duties and Responsibilities
i. Kusimamia ukusanyaji mbegu na bustani za miti.
ii. Kukusanya takwimu za misitu.
iii. Kusimamia kazi za upandaji, utunzaji na uvunaji wa miti/misitu.
iv. Kukusanya maduhuli.
v. Kupima mazao ya misitu.
vi. Kufanya doria.
vii. Kufanya kazi nyingine kama atakavyoagizwa na Msimamizi wake;
Qualifications
Kuajiriwa wenye Stashahada katika mojawapo ya fani zifuatazo; Forestry, Agroforestry, Forest Resources Assessment and Management, Forest Biology, Forest Economics, Forest Engineering au fani nyingine inayoendana na hiyo kutoka katika Taasisi au Vyuo vinavyotambulika na Serikali.
How to Apply
Submit your application through the official Ajira Portal. Use the advert reference above if the portal opens at the vacancies list.