Skip to content
JOBS July 24, 2026

FUNDI SANIFU DARAJA LA II UPIMAJI ARDHI (LAND TECHNICIAN SURVEY II) at Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi

July 24, 20261 min read

Job Overview

Employer: Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi

Advert reference: Ajira #13759

Role: FUNDI SANIFU DARAJA LA II UPIMAJI ARDHI (LAND TECHNICIAN SURVEY II)

Open posts: 10 positions

Published: 24 July 2026

Deadline: 06 August 2026

Salary scale: TGS.C

Duties and Responsibilities

  1. Kupanga na kuandaa mahitaji ya kambi za upimaji vifaa vya upimajoi na mahitaji ya jumla
  2. Kufanya upimaji wa awali na kusimika ardhini alama za upimaji
  3. Kufanya upimaji na kukusanya taarifa na takwimu zote za upimaji
  4. Kuchora “Sketch” ya mchoro ya upimaji
  5. Kufanya mahesabu ya upimaji

 

Qualifications

Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha nne au cha sita wenye cheti cha mafunzo ya ufundi ya miaka miwili katika fani za upimaji ardhi kutoka kwenye vyuo vinavyotambuliwa na Serikali.

How to Apply

Submit your application through the official Ajira Portal. Use the advert reference above if the portal opens at the vacancies list.

About the author