HEALTH ASSISTANT II (MORTUARY ATTENDANT) at Halmashauri ya Wilaya ya Siha
Job Overview
Employer: Halmashauri ya Wilaya ya Siha
Advert reference: Ajira #13886
Role: HEALTH ASSISTANT II (MORTUARY ATTENDANT)
Open posts: 3 positions
Published: 24 July 2026
Deadline: 06 August 2026
Salary scale: TGHS A
Duties and Responsibilities
-
Kusafisha wodi, maeneo ya hospitali, kumbi na vifaa;
-
Kusafisha na kuua vijidudu katika chumba cha kuhifadhia maiti kila siku;
-
Kugawa mashuka ya vitanda, mablanketi na magodoro katika kumbi za malazi;
-
Kuwasaidia wagonjwa wenye ulemavu wakati wa kuoga au kutumia choo;
-
Kuwasaidia kulisha wagonjwa wasioweza kujilisha wenyewe;
-
Kukusanya na kupeleka nguo za wagonjwa kwenye sehemu ya kufulia, na kutunza kwa usalama vifaa na zana za usafi;
-
Kukusanya na kupeleka sampuli za vipimo vya wagonjwa maabara;
-
Kufanya majukumu mengine yanayohusiana na kazi hiyo kama atakavyopangiwa na msimamizi wake.
Qualifications
Kuajiriwa wahitimu wa Kidato cha Nne (CSEE) au Kidato cha Sita (ACSEE), pamoja na Cheti cha mwaka mmoja katika fani zinazohusiana na afya kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali.
How to Apply
Submit your application through the official Ajira Portal. Use the advert reference above if the portal opens at the vacancies list.