DEREVA MITAMBO (PLANT OPERATOR) at Halmashauri ya Manispaa ya Geita

    Job Overview

    Employer: Halmashauri ya Manispaa ya Geita

    Advert reference: Ajira #13415

    Role: DEREVA MITAMBO (PLANT OPERATOR)

    Open posts: 3 positions

    Published: 23 March 2026

    Deadline: 05 April 2026

    Salary scale: TGOS A

    Duties and Responsibilities

    Kuendesha mitambo chini ya usimamizi wa Dereva mitambo mwenye uzoefu.

    Qualifications

    Kuajiriwa wenye cheti cha kidato cha nne ambao wana leseni Daraja la ā€œGā€ ya kuendesha Mitambo na ujuzi wa kutunza vyombo mbalimbali vya mitambo hiyo, wenye uzoefu wa kuendesha mitambo kwa muda usiopungua miaka mitatu bila kusababisha ajali.

    How to Apply

    Submit your application through the official Ajira Portal. Use the advert reference above if the portal opens at the vacancies list.