MKADIRIAJI UJENZI DARAJA LA II (QUANTITY SURVEYOR GRADE II) at MDAs & LGAs

    Job Overview

    Employer: MDAs & LGAs

    Advert reference: Ajira #13313

    Role: MKADIRIAJI UJENZI DARAJA LA II (QUANTITY SURVEYOR GRADE II)

    Open posts: 55 positions

    Published: 22 March 2026

    Deadline: 04 April 2026

    Salary scale: TGS.E

    Duties and Responsibilities

    1. Kuandaa ratiba ya kazi, gharama za ujenzi (BOQ) na Hati za mikataba.
    2. Kuanda makisio ya gharama za miradi ya Ujenzi.
    3. Kukusanya takwimu na kufanya uchunguzi ( survey)ya  ukarabati  wa miradi ya Ujenzi
    4. Kuandaa bajeti ya miradi ya ujenzi
    5. Kuandaa taarifa za uthamini wa miradi ya ujenzi.
    6. Kwa kushirikiana na Mkadiriaji ujenzi kuandaa taarifa fupi za ujenzi wa miradi.
    7. Kushughulikia  masuala yote ya utawala wa fedha za miradi ,kuandaa hati / vibali maalumu vya ujenzi na mikataba.
    8. Kufanya kazi zingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi.

    Qualifications

    Kuajiriwa Wahitimu wenye Shahada/Stashahada ya juu ya Uhandisi kutoka vyuo Vikuu vinavyotambuliwa na Serikali katika fani inayohusiana na Ukadiriaji Ujenzi (quantity Surveryor) na awe amesajiliwa na Bodi inayosimamia Taaluma hii ya Ukadiriaji Ujenzi.(AQRB)

    How to Apply

    Submit your application through the official Ajira Portal. Use the advert reference above if the portal opens at the vacancies list.