MWALIMU DARAJA LA III B – (ELIMU MAALUM) at MDAs & LGAs

    Job Overview

    Employer: MDAs & LGAs

    Advert reference: Ajira #13310

    Role: MWALIMU DARAJA LA III B – (ELIMU MAALUM)

    Open posts: 7 positions

    Published: 22 March 2026

    Deadline: 04 April 2026

    Salary scale: TGTS C

    Duties and Responsibilities

    1. Kuandaaazimiolakazi,maandalioyamasomo,nukuuzamasomona Mpango wa Kazi wa majukumu mengine aliyokabidhiwa;
    2. utengenezanaKufaraghuazanazakufundishianakujifunzia;
    3. Kufundisha,kufanyaTathimininakutunzakumbukumbuzaMaendeleoya Wanafunzi;
    4. KusimamianakufuatiliamahudhurioyawanafunziShuleninaDarasani;
    5. KusimamiamaleziyawanafunziKiakili,Kimwili,Kirohonakutoaushauri nasaha na unasihi;
    6. Kutoaushauriwakitaalamunakitaalumakuhusumaendeleoya Elimu;
    7. Kusimamianautunzajiwavifaanamalizashule; na
    8. KazinyingineatakazopangiwanaMkuuwaShulekulingananamajukumuya Shule.

    Qualifications

    Kuajiriwa mwenye cheti cha Mtihani wa Taifa wa Kidato cha nne/sita ambaye amefaulu masomo mawili au zaidi yanayofundishwa shuleni na kufaulu mafunzo ya Stashahada ya Ualimu wa Elimu Maalum kutoka Vyuo vya Ualimu vinavyotambulika na Serikali.

    How to Apply

    Submit your application through the official Ajira Portal. Use the advert reference above if the portal opens at the vacancies list.