MTEKNOLOJIA MSAIDIZI – DAWA (ASSISTANT TECHNOLOGIST -PHARMACY II) at MDAs & LGAs

    Job Overview

    Employer: MDAs & LGAs

    Advert reference: Ajira #13487

    Role: MTEKNOLOJIA MSAIDIZI – DAWA (ASSISTANT TECHNOLOGIST -PHARMACY II)

    Open posts: 10 positions

    Published: 13 June 2026

    Deadline: 26 June 2026

    Salary scale: TGHS A.

    Duties and Responsibilities

    1. Kuandaa mahitaji na matumizi ya dawa na vifaa tiba;
    2. Kuagiza, kuhifadhi na kugawa dawa na vifaa tiba katika eneo lake la kazi;
    3. Kuandaa taarifa ya matumizi ya dawa na vifaa tiba;
    4. Kutunza kumbukumbu za dawa na vifaa tiba;
    5. Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake.

    Qualifications

    Kuajiriwa wahitimu wenye cheti cha Astashahada katika fani za  Dawa kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali naambao wamesajiliwa na Baraza la Famasi.

    How to Apply

    Submit your application through the official Ajira Portal. Use the advert reference above if the portal opens at the vacancies list.