Skip to content
JOBS OPPORTUNITIES June 13, 2026

MTEKNOLOJIA MSAIDIZI – RADIOLOJIA (ASSISTANT TECHNOLOGIST -RADIOLOGY II) at MDAs & LGAs

June 13, 20261 min read

Job Overview

Employer: MDAs & LGAs

Advert reference: Ajira #13488

Role: MTEKNOLOJIA MSAIDIZI – RADIOLOJIA (ASSISTANT TECHNOLOGIST -RADIOLOGY II)

Open posts: 10 positions

Published: 13 June 2026

Deadline: 26 June 2026

Salary scale: TGHS – A

Duties and Responsibilities

  1. Kufanya kazi za kupokea na kupima wagonjwa katika maeneo ya vipimovya mifupa na kifua (chests and Skeletal Radiography);
  2. Kuandaa dawa za kusafisha picha;
  3. Kusafisha picha;
  4. Kutunza mitambo ya X-Ray na ya kusafisha picha;
  5. Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake.

 

 

Qualifications

Kuajiriwa waombaji wenye cheti cha Astashahada katika fani za Radiolojia kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali na ambao wamesajiliwa na Baraza la Waatalum wa Mionzi Tanzania.

 

How to Apply

Submit your application through the official Ajira Portal. Use the advert reference above if the portal opens at the vacancies list.

About the author