TANGAZO LA KUITWA KAZINI CHUO KIKUU ARDHI
tangazo la kuitwa kazini chuo kikuu ardhi is an official placements published by Ajira Tanzania on 09 October 2026.
Announcement Details
Announcement type: Placements
Official reference: bbcf5a07-858c-402c-9256-3f9eb749e98b
Tangazo La Kuitwa Kazini Chuo Kikuu Ardhi
Kumb. Na. CBA.314/369/01 Tarehe: 09 Oktoba, 2026
Tangazo La Kuitwa Kazini
Chuo Kikuu Ardhi (ARU) kinapenda kuwataarifu waombaji kazi mbalimbali waliofanya
usaili tarehe 10 na 11 Septemba, 2026 kuwa, majina ya waombaji kazi waliofaulu
usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili.
Waombaji waliofaulu usaili watatakiwa kukamilisha taratibu mbalimbali za ajira kwa
kufika Chuo Kikuu Ardhi (ARU) Jengo la Utawala, Chumba Na. 113 tarehe 12
Oktoba, 2026 kuanzia saa tatu kamili asubuhi, wakiwa na nyaraka zilizoainishwa
katika tangazo hili ili zihakikiwe kabla ya kupewa barua za ajira.
Kwa wale ambao majina yao hayapo katika tangazo hili, watambue kuwa
hawakupata nafasi/hawakufaulu usaili, hivyo wasisite kuomba kwa mara nyingine
pindi nafasi za kazi zitakapotangazwa.
Nyaraka za kuwasilisha ni kama ifuatavyo:
(i) Vyeti halisi (Original Certificates) na nakala mbili za vyeti hivyo ambazo
hazijathibitishwa na Mamlaka za kisheria (non-certified by
Advocate/Magistrate) vya masomo kuanzia kidato cha nne na kuendelea;
(ii) Cheti cha kuzaliwa;
(iii) Nakala ya Kitambulisho cha Taifa (NIDA); na
(iv) Picha ndogo tatu za rangi (three coloured passport size photographs)
1
Majina Ya Waliofaulu Usaili Na Kuchaguliwa Katika Kada
Mbalimbali Chuo Kikuu Ardhi
Na. Kada Jina Kamili
1. Tutorial Assistant (QS, Francis Gabriel Kisyungu (M)
Construction Economics
Management)
2. Tutorial Assistant (Architecture) Dorah Michael Mtima (F)
3. Tutorial Assistant (LA) Christina Godwin Hizza (F)
4. Tutorial Assistant (ICT) Barakael Lucas Wawo (M)
5. Tutorial Assistant (ICT) Veronica John Kiteve (F)
6. Tutorial Assistant (Mathematics) Alistachius Muganyizi Alisen (M)
7. Tutorial Assistant (Urban and Petro Chacha Mwita (M)
Regional Planning)
Imetolewa na;
Makamu Mkuu Wa Chuo,
Chuo Kikuu Ardhi (Aru)
2
Official Source
Verify names, dates, requirements and instructions in the official PDF published by Ajira Tanzania.
Opportunity status: Deadline not provided
About the author
Related posts
TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA
TANGAZO LA KUITWA KAZINI CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM
TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA
TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA
TANGAZO LA KUITWA KAZINI SHIRIKA LA RELI TANZANIA
