TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA
tangazo la kuitwa kazini taasisi mbalimbali za umma is an official placements published by Ajira Tanzania on 27 October 2026.
Announcement Details
Announcement type: Placements
Official reference: a9ec2e37-d1ac-4996-a7be-c66d619209f0
Tangazo La Kuitwa Kazini Taasisi Mbalimbali Za Umma
Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Ofisi Ya Rais
Sekretarieti Ya Ajira Katika Utumishi Wa Umma
Kumb. Na. JA. 9/ 18/01"E"/71 27/10/2026
Tangazo La Kuitwa Kazini
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji
kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 19-12-2025 na tarehe 12-09-2026
kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika
tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye
kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya
nafasi kupatikana
Wasailiwa wote waliofaulu usaili na kupangiwa vituo vya kazi, BARUA zao za
kupangiwa vituo vya kazi watazipata kupitia AKAUNTI zao za Ajira Portal kwenye
sehemu ya My Applications, hivyo watapaswa kupakua na kutoa nakala (Download and
Print) barua hizo na Kwenda nazo kuripoti katika vituo vya kazi walivyopangiwa.
Aidha, waombaji kazi waliofaulu usaili na kupangiwa kituo cha kazi wanatakiwa kuripoti kwa
Mwajiri katika muda ambao umeainishwa kwenye barua za kupangiwa kituo cha kazi wakiwa
na vyeti halisi (Originals Certificates) za masomo kuanzia kidato cha nne na kuendelea ili
vihakikiwe na mwajiri kabla ya kupewa barua ya Ajira. Kwa wale ambao majina yao hayapo
katika tangazo hili watambue kuwa hawakupata nafasi/hawakufaulu usaili, hivyo wasisite
kuomba kwa mara nyingine nafasi za kazi zitakapotangazwa.
Page 1 of 4
1 Halmashauri ya Wilaya ya AFISA KILIMO MSAIDIZI Halmashauri ya Wilaya ya
Shinyanga DARAJA LA II Shinyanga
1 Faustine Ferdinand Etlawe
(Agricultural Field
Officer Ii)
AFISA MIFUGO MSAIDIZI Halmashauri ya Wilaya ya 1 ENOCK WENSESLAUS KIMARIO
DARAJA LA II Shinyanga
2 Erasto Iddy Athuman
(Livestock Field
Officer Grade Ii) 3 William Kapaya James
FUNDI SANIFU DARAJA Halmashauri ya Wilaya ya
LA II (MECHANICAL Shinyanga 1 MOHAMEDI ALLY BOMBOKO
Technician Grade Ii)
MSAIDIZI WA AFYA Halmashauri ya Wilaya ya 1 AGRIPPINER JUMANNE MWAI
DARAJA LA I (HEALTH Shinyanga
2 Elizabeth Hamisi Nhwagi
Assistant Grade I)
Fadhila Mohamed
3
Mkabwada
4 Helena Andrea Msisiri
5 Neema Elias Ntungwely
6 Veronica Pius African
MWALIMU DARAJA LA III Shule ya Sekondari Itwangi 1 MARIA PIUS HHAMANDI
B – Baiolojia (Biology)
Shule ya Sekondari Solwa 1 APHEN CHARLES KIONDO
MWALIMU DARAJA LA III Shule ya Sekondari
1 Mgabe Alberth Mwakabuja
C – HISTORIA (HISTORY) Mhangu
Shule ya Sekondari Tinde
1 Enock Donald Sakaliche
Girls
MWALIMU DARAJA LA III Shule ya Sekondari Solwa
C – Kiingereza 1 Dawson Gregory Clavery
(English)
MWALIMU DARAJA LA III Shule ya Sekondari Kituli 1 NEEMA JEROME MMOLE
C – Kiswahili
Shule ya Sekondari Tinde
1 Gurida Rocket Mahega
Girls
Page 2 of 4
MWALIMU DARAJA LA IIIA Shule ya Msingi Didia 1 ALICIA ALISTIDES KASABILA
(Teacher Grade Iiia)
2 Clara Gerard Mitimingi
3 Monica Francis John
Shule ya Msingi Hinduki 1 SHARIFA RAJABU ALLY
Shule ya Msingi
1 Teopista Mwanga Tumain
Iselamagazi
Shule ya Msingi Kazuni 1 MUHIDINI MBWANA RASHIDI
Shule ya Msingi Kizungu 1 IRENE JAMES KAZIMILI
Shule ya Msingi Lyagiti LILIAN FORTUNATUS
1
Mwamakula
Shule ya Msingi Lyamidati 1 SOPHIA ALKWINI KINUNDA
Shule ya Msingi Mahembe 1 NESTORY ALEX NESTORY
Shule ya Msingi Mapingili 1 OLIVA KUDLATH MEISHACK
Shule ya Msingi Mawemilu 1 GUDILA BAZIL SHAYO
Shule ya Msingi Mhangu 'a' 1 MAKRINA ALPHONCE GUERINO
Shule ya Msingi Mhangu B 1 NAOMI FILEMON MARANDO
Shule ya Msingi Mwakitolyo 1 BLAIYAN CELESTIN KINYELO
Shule ya Msingi 1 LAILA NJEU MWAKUUZA
Mwamkanga
2 Salome Edwin Mwakabana
Shule ya Msingi Mwanono 1 NEEMA MOHAMED MHANDO
Shule ya Msingi Mwashagi 1 HALIMA NASSORO ZAHARANI
Shule ya Msingi
1 Juliet Chris Achayo
Nyaligongo
Shule ya Msingi
1 Jisaba Joseph Sebastian
Nyendegese
Shule ya Msingi Nzagaluba 1 EMMANUEL PIUS JILALA
Shule ya Msingi Nzoza 1 JIMMY JOVIN KASAPIRA
Page 3 of 4
Shule ya Msingi
1 Frank Nchama Joseph
Pandagichiza
Shule ya Msingi Sabuluba 1 JOHNSON FOCAS MASONGELA
Shule ya Msingi Shilabela 1 DAUD MAGANGA SEME
Shule ya Msingi Solwa CEVINE KIMBUGWE
1
Boneventura
Shule ya Msingi Tinde "a" 1 SARAFINA WILSON MAHEMBA
Shule ya Msingi Zunzuli 1 ALLANI MAJUNGU JUMA
TABIBU DARAJA LA II Halmashauri ya Wilaya ya 1 BERNARD BENEDICT MTUI
(CLINICAL OFFICER Shinyanga
2 David Richard Christopher
Grade Ii)
3 Eginus Albogast Samwel
4 John James Ngofori
5 Petro Sophia Mwachali
6 William Mussa Maganga
2 Taasisi ya Utafiti wa Uvuvi DRIVER II Taasisi ya Utafiti wa Uvuvi 1 ATHUMAN ADAM ALLY
(Tafiri) (Tafiri)
2 Kasimu Yahya Mussa
3 Paulo Michah Zawadi
OFFICE MANAGEMENT Taasisi ya Utafiti wa Uvuvi 1 JACKLINE JERADI CHARLES
Secretary Ii (Tafiri)
2 Neema Nwaka Mwaiposya
Limetolewa Na;
Katibu
Sekretarieti Ya Ajira Katika Utumishi Wa Umma
Page 4 of 4
Official Source
Verify names, dates, requirements and instructions in the official PDF published by Ajira Tanzania.
Opportunity status: Deadline not provided
About the author
Related posts
TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA
TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA
TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA
TANGAZO LA KUITWA KAZINI CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM
TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA
