TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA
tangazo la kuitwa kazini taasisi mbalimbali za umma is an official placements published by Ajira Tanzania on 29 October 2026.
Announcement Details
Announcement type: Placements
Official reference: 351bcb87-993b-41fd-a7ce-0ec6fa998434
Tangazo La Kuitwa Kazini Taasisi Mbalimbali Za Umma
Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Ofisi Ya Rais
Sekretarieti Ya Ajira Katika Utumishi Wa Umma
Kumb. Na. JA. 9/ 18/01"E"/73 29/10/2026
Tangazo La Kuitwa Kazini
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji
kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 19-12-2025 na tarehe 05-09-2026
kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika
tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye
kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya
nafasi kupatikana
Wasailiwa wote waliofaulu usaili na kupangiwa vituo vya kazi, BARUA zao za
kupangiwa vituo vya kazi watazipata kupitia AKAUNTI zao za Ajira Portal kwenye
sehemu ya My Applications, hivyo watapaswa kupakua na kutoa nakala (Download and
Print) barua hizo na Kwenda nazo kuripoti katika vituo vya kazi walivyopangiwa.
Aidha, waombaji kazi waliofaulu usaili na kupangiwa kituo cha kazi wanatakiwa kuripoti kwa
Mwajiri katika muda ambao umeainishwa kwenye barua za kupangiwa kituo cha kazi wakiwa
na vyeti halisi (Originals Certificates) za masomo kuanzia kidato cha nne na kuendelea ili
vihakikiwe na mwajiri kabla ya kupewa barua ya Ajira. Kwa wale ambao majina yao hayapo
katika tangazo hili watambue kuwa hawakupata nafasi/hawakufaulu usaili, hivyo wasisite
kuomba kwa mara nyingine nafasi za kazi zitakapotangazwa.
Page 1 of 2
Na Mamlaka Ya Ajira Kada Na Majina Ya Walioitwa Kazini
1 Chuo Kikuu cha Mwalimu Nyerere cha AFISA KILIMO DARAJA LA II
1 Alphonce Deogratius Mlagwa
Kilimo na Teknolojia (MNUAT) (AGRICULTURAL OFFICER II)
Ict Officer Ii (Database
1 Neema Leonard Wilawila
Administration)
2 Halmashauri ya Wilaya ya Monduli MKADIRIAJI UJENZI DARAJA LA II
1 Deogratias Edes Lyatuu
(Quantity Surveyor Grade Ii)
Mteknolojia Msaidizi Daraja La Ii – 1 Gabriel Malulu Gwisu
Maabara (Assistant Health
2 Makabi Juma Simba
Laboratory Technologist Ii)
Mteknolojia Msaidizi – Dawa
(Assistant Technologist – 1 Thomas Addo Mapunda
Pharmacy Ii)
3 Halmashauri ya wilaya ya Urambo AFISA KILIMO DARAJA LA II 1 GODLOVE ERASTO KANUYA
(Agricultural Officer Ii)
2 Theresia Fredrick Mlawa
Mteknolojia Wa Radiografa
Daraja Ii – Radiolojia
1 Julie Godwin Masimba
(Radiographytechnologist Ii –
Radiology)
Tabibu Daraja La Ii (Clinical 1 Josephina Jastin Mahenge
Officer Grade Ii)
2 Maria Silvery Malago
Tabibu Wa Kinywa Na Meno Daraja 1 Gloria Eckson Mwandenuka
La Ii (Dental Therapist Grade Ii)
2 Sisela Solomon Nyandura
Limetolewa Na;
Katibu
Sekretarieti Ya Ajira Katika Utumishi Wa Umma
Page 2 of 2
Official Source
Verify names, dates, requirements and instructions in the official PDF published by Ajira Tanzania.
Opportunity status: Deadline not provided
About the author
Related posts
TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA
TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA
TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA
TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA
