TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA MJI MBULU
tangazo la kuitwa kwenye usaili halmashauri ya mji mbulu is an official call for interviews published by Ajira Tanzania on 06 November 2026.
Announcement Details
Announcement type: Call for Interviews
Official reference: d19404e2-514d-43eb-9ccc-72e2915e765a
Tangazo La Kuitwa Kwenye Usaili Halmashauri Ya Mji Mbulu
Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Tawala Za Mikoa Na Serikali Za Mitaa
Halmashauri Ya Mji Mbulu
Kumb. Na. FA.109/214/01/28 06/11/2026
Tangazo La Kuitwa Kwenye Usaili
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Mbulu anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili
unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 20/11/2026 hadi 21/11/2026 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi
watakaofaulu usaili huo. Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-
1. Usaili utafanyika kuanzia tarehe kama ilivyooneshwa kwenye tangazo hili muda na sehemu ambapo usaili
utafanyika umeainishwa kwa kila Kada.
2. Kila msailiwa anatakiwa kufika kwenye eneo la usaili akiwa amevaa Barakoa (Mask).
3. Kila Msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi.
Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Mkazi, Kitambulisho cha Mpiga kura,
Kitambulisho cha kazi, Kitambulisho cha Uraia, Hati ya kusafiria, Leseni ya Udereva au barua ya
utambulisho kutoka Serikali ya Mtaa/Kijiji anachotoka.
4. Wasailiwa wanatakiwa kufika na VYETI VYAO HALISI, kuanzia cheti cha kuzaliwa, kidato cha IV, VI, Astashahada,
Stashahada, Stashahada ya Juu, Shahada na kuendelea kutegemeana na sifa za nafasi husika.
5. Wasailiwa watakaowasilisha ‘Testimonials, Provisional Results, Statement of results’, hati za matokeo za kidato
cha IV na VI (‘form IV and form VI results slips’) HAVITAKUBALIWA NA HAWATARUHUSIWA KUENDELEA NA
Usaili.
6. Kwa kada ambazo wanatakiwa kusajiliwa na Bodi za Kitaaluma wanapaswa kuja na vyeti vyao Halisi vya Usajili
pamoja na Leseni za kufanyia kazi.
7. Kila msailiwa atajigharamia kwa Chakula, Usafiri na Malazi. Aidha kila msailiwa anapaswa kuhudhuria usaili akiwa
na mavazi nadhifu na yenye staha kulingana na Waraka wa mavazi.
8. Kwa wasailiwa waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe Vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na Mamlaka
husika (kama TCU, NACTVET au NECTA). Wasailiwa wa kada zinazohitaji ‘GPA’ waliosoma nje ya Tanzania
wawasilishe cheti cha ukokotozi wa GPA kutoka TCU.
9. Wasailiwa ambao hawajaona majina yao kwenye tangazo hili wanapaswa kuingia kwenye akaunti zao za ‘Ajira
Portal’ na kuona sababu za kutokuitwa kwao ili wasikose fursa wakati mwingine.
10. Wasailiwa wote walioitwa kwenye usaili wahakikishe wanaingia kwenye akaunti zao na kunakili namba ya usaili.
Aidha wasailiwa watakaofanya usaili wa mchujo kwa njia ya Mtandao wanapaswa kukumbuka barua pepe (email
address) na nywila (password) zao wanazotumia katika mfumo wa Ajira Portal.
11. Wasailiwa ambao majina yao yanatofautiana katika nyaraka zao wanapaswa kuwasilisha Hati ya Kiapo cha
Kubadili Jina (Deed Poll) iliyosajiliwa na Wizara ya Ardhi.
12. Waombaji wote wa kazi wanakumbushwa kuwa ni marufuku kutoa au kupokea rushwa kwa lengo la kupata ajira au
kupangiwa kituo cha kazi. Mchakato wa ajira unazingatia misingi ya haki, usawa, na uwazi, kwa kuzingatia sifa
stahiki zilizoainishwa katika tangazo la kazi husika na muundo wa utumishi wa idara inayohusika.
Ratiba Ya Usaili Vitendo
Mwajiri Kada Tarehe Ya Usaili Mahali
Halmashauri ya Mji Mbulu DEREVA DARAJA II 2026-11-20 07:00:00 Community centre(Ukumbi
(DRIVER II) wa Maendeleo ya Jamii)
Halmashauri ya Mji Mbulu MWANDISHI MWENDESHA 2026-11-20 07:00:00 Community centre(Ukumbi
OFISI DARAJA LA II wa maendeleo ya Jamii)
(Office Management
Secretary Grade Ii)
Ratiba Ya Usaili Alama Za Barabarani
Mwajiri Kada Tarehe Ya Usaili Mahali
Halmashauri ya Mji Mbulu DEREVA DARAJA II 2026-11-20 07:00:00 Community centre(Ukumbi
(DRIVER II) wa Maendeleo ya Jamii)
Ratiba Ya Usaili Mahojiano
Mwajiri Kada Tarehe Ya Usaili Mahali
Halmashauri ya Mji Mbulu DEREVA DARAJA II 2026-11-21 07:00:00 Community centre(Ukumbi
(DRIVER II) wa maendeleo ya Jamii)
Halmashauri ya Mji Mbulu MWANDISHI MWENDESHA 2026-11-21 07:00:00 Comunity centre(Ukumbi wa
OFISI DARAJA LA II maendeleo ya Jamii
(Office Management
Secretary Grade Ii)
1
Mwajiri: Halmashauri Ya Mji Mbulu
Kada: Dereva Daraja Ii (Driver Ii)
Tarehe Ya Usaili Wa Vitendo: 2026-11-20 07:00:00
MAHALI: Community centre(Ukumbi wa Maendeleo ya Jamii)
Tarehe Ya Usaili Wa Alama Za Barabarani: 2026-11-20 07:00:00
MAHALI: Community centre(Ukumbi wa Maendeleo ya Jamii)
Tarehe Ya Usaili Wa Mahojiano: 2026-11-21 07:00:00
MAHALI: Community centre(Ukumbi wa maendeleo ya Jamii)
. .
1 FATIUS FULGENCE P.O Box 307, 2 YASINI ISMAILI JAFARI P.O Box 350,
ALOYCE Nyamagana, Dodoma, Dodoma
Mwanza
3 HUSSEIN SALEHE P.O Box 617400490, 4 JESCA JOHN KILEO P.O Box 318,
Katambo Dar Es Salaam Kilimanjaro
5 JOSEPH DEOGRATIUS P.O Box 20950, 6 JACKSON JAMES P.O Box 1080,
KASALA Ilala, Dar es Salaam MASANJA Dodoma, Dodoma
7 INNOCENT PAUL P.O Box 1249, 8 HUSSEIN SALIM P.O Box 22,
Thomas Dodoma Hassan Morogoro
9 MBWANA ATHUMANI P.O Box 3054, 10 CHRIS SILVIN MAJENGA P.O Box 52,
Mbwana Kilimanjaro Kilimanjaro
11 GEORGE CHARLES P.O Box 170, 12 MZEE ADINURI MZEE P.O Box 287,
Kaiza Tabora Dodoma
13 IDDY OMARY NINGA P.O Box 3134, 14 JAMES PETER P.O Box 89, Babati,
Arusha, Arusha MWANJALA Manyara
15 ELIAS PAUL GOWELE Mbeya 16 JOSEPH STANSLAUS P.O Box 1249,
Mauki Dodoma
17 SHAMSI ATHUMANI P.O Box 2089, 18 NIGAST FRANK P.O Box 11354,
MKALENDA Dodoma, Dodoma MWANSYAN DAR ES SALAAM
19 ABUBAKARI MOHAMEDI P.O Box 166, 20 BARAKA PHILIPO P.O Box 352, GEITA
Kunga Morogoro Magili
21 SAID JUMBE LILLA P.O Box 4152, DAR 22 PAULO PASCHAL P.O Box 42090,
Es Salaam Ndenzako Dar Es Salaam
23 ABUBAKAR YASIN P.O Box 13449, 24 SAIDI BAKARI SHARIFF P.O Box 20950,
KIHUNDWA ARUSHA Ilala, Dar es Salaam
25 STEPHEN KAHEMA P.O Box 1928, 26 JAMAL SELEMAN P.O Box 10,
Mashenene Dodoma Dahaa Manyara
27 WILFRED LAURENT P.O Box 896, 28 DAUDI PAUL LUKUMAY P.O Box 31, TANGA
LYAKURWA Arusha, Arusha
29 BARAKA FRANK MTEI P.O Box 56, 30 PASCHAL CHRISTOPHE P.O Box 5,
Singida R Sillo Manyara
31 MRISHO SELEMANI P.O Box 174, 32 VICTOR PHARES P.O Box 771,
DULE Tabora, Tabora NTAHONDI KIGOMA
33 ATRIO SHANA P.O Box 229, 34 THOMAS DARUSHI P.O Box 19,
BALTAZAR Manyoni, Singida MASUNGA TABORA
35 MOHAMEDI ATHUMANI P.O Box 2070, 36 JAMES DAVID P.O Box 1950, DAR
HEMEDI Tanga, Tanga MWALONGO ES SALAAM
2
. .
37 AUGUSTI RAFAELI P.O Box 176, 38 GABRIEL WILLIAM P.O Box 1826,
Mushi Kilimanjaro Sanga Morogoro
39 NEEMA DANIEL P.O Box 30112, 40 PHIDELICE PHILIP P.O Box 84,
Magambo Pwani Sulle Arusha
41 BUNDALA HAMZA SAIDI P.O Box 27, 42 EMMANUEL MATHIAS P.O Box 24394,
Kilimanjaro Kerengi Dar Es Salaam
43 ALLY ISSA GINGI P.O Box 757, 44 GABRIEL AMOSI P.O Box 10,
Arusha Mbwana Morogoro
45 SILAS JOEL AKYOO P.O Box 67, Meru, 46 RICHARD RUBEN P.O Box 19,
Arusha DARUSHI TABORA
47 ZUBERI YASSIN P.O Box 5, TANGA 48 SAMWELI SILVANUS P.O Box 1249,
MASHUUBU KOMBA Dodoma, Dodoma
49 BWIRE ELIAS MARINDI P.O Box 24, MARA 50 FILEMON ROMAN P.O Box 33150,
MSANA Kinondoni, Dar es
Salaam
51 ISMAIL JUMA MGUWA P.O Box 45276, 52 JACOB ALEXANDA P.O Box 12321,
Dar Es Salaam Edward Dar Es Salaam
53 ABDALLAH ATHUMANI P.O Box 453, 54 KATETY ATHUMAN P.O Box 40160,
KAGYA Karagwe, Kagera HAMIS DAR ES SALAAM
55 JUNIOR BRUNO P.O Box 73, MBEYA 56 ISAYA ABRAHAM P.O Box 914,
Mwaijande Mwambene Dodoma
57 JOHN JULIUS ISAKA P.O Box 1629, 58 HEMED MZEE KIPAKA P.O Box 125,
Dodoma Morogoro
59 WINSTON ANDREW P.O Box 41, SIMIYU 60 HAFIDHI SALUM SAID P.O Box 55105,
Mhango Dar Es Salaam
61 SAMWELI SOLOMON P.O Box 176, 62 YUSUPH BATWEL P.O Box 149,
Mchomvu Kilimanjaro Mligo Mbeya
63 VICTOR ONESIMO 64 KARIMU HAMISI P.O Box 03,
MAKUNDI TARATIBU Tandahimba, Mtwara
65 SHEDRACK PHILIPO P.O Box 292, DAR 66 JANUARY RUVUNAGU P.O Box 72, Kasulu,
HYERA ES SALAAM MUDUGO Kigoma
67 EDWARD PAULO Dar es Salaam 68 MATHAYO PETRO P.O Box 400,
Nyendo Qalembe Manyara
69 JAPHET PAULO P.O Box 65, DAR 70 SHANI LAMECK OYIERY P.O Box 45, MARA
Chengula Es Salaam
71 BAKARI HAMZA Pwani 72 TERIANI JUMA TEONASI P.O Box 30112,
MPENDU Kibaha, Pwani
73 WILLIAM WINFRID 74 MOHAMEDY IDD SEPH P.O Box 1249,
Mteteleka Dodoma
75 GABRIEL SAMSON P.O Box 362, 76 GIFT STEVEN KILUNGA P.O Box 1249,
NYELLA Dodoma, Dodoma DODOMA
77 ENOS HENRY P.O Box 1333, 78 ERICK PAULO P.O Box 743,
LUSHONISHA Nyamagana, KINEMELO Arusha, Arusha
Mwanza
79 SELIS OREST SHAYO P.O Box 208, 80 LUCAS FABIAN KITOSI P.O Box 41117,
Kilimanjaro Dodoma
81 ERICK JOSEPH MOLLEL P.O Box 580, 82 HUSSEIN ALLY P.O Box 0, PWANI
Arusha Athumani
3
. .
83 ZEBRON NJALANGULU P.O Box 280, Kyela, 84 STANLEY NESTORY P.O Box 992,
MWAKIPESILE Mbeya MUJUNANGOMA MOROGORO
85 MARKO KATELE P.O Box 20950, 86 DEODATHUS DISMAS P.O Box 187,
Muhumba Dar Es Salaam Simwela Rukwa
87 THOMAS EXAUD AYUBU P.O Box 405, 88 ABDULAZIZ IDRISA P.O Box 0, DAR ES
Njombe Kazai Salaam
89 ABDALLAH YASSINI P.O Box 46343, 90 FELIX STEPHEN P.O Box 146,
Saidi Dar Es Salaam Kimilike Iringa
91 JOSEPH PASCHAL P.O Box 1565, 92 GODFREY PANCRAS P.O Box 55,
Gilla Arusha Mbelle Ruvuma
93 BAHATI SAFARI P.O Box 1249, 94 HAMZA SHAIBU P.O Box 14,
MICHAEL Dodoma, Dodoma MBAWALA Songea, Ruvuma
95 BIGAMBO PETER MTAKI P.O Box 15101, 96 AMIRI NYAMBI P.O Box 149,
Dar Es Salaam Kiyumbili Mbeya
97 KHALIDI SHABANI P.O Box 4912, 98 PETER PAULO MATUI P.O Box 24095,
MTORI Dodoma, Dodoma DAR ES SALAAM
99 FRED AGGREY P.O Box 1462, 100 BILALI SAIDI MBOREHA P.O Box 385,
MASHANDA MWANZA Lushoto, Tanga
101 MISHITA BARAKA P.O Box 1249, 102 DONALD LUCAS P.O Box 123,
MISHITA DODOMA DOMINIC Babati, Manyara
103 MAJANI ERASTO P.O Box 100, 104 HAMIS JAFARI MWIDADI P.O Box 31902,
MAJANI KILIMANJARO Ubungo, Dar es
Salaam
105 GAMALIEL HARRY P.O Box 28, DAR 106 JAMES MASHIMBA P.O Box 1333,
Hussein Es Salaam James Mwanza
107 NELSON PETER SHAYO P.O Box 200, 108 JOHNCE JOHN P.O Box 320,
Iringa Mwakajajo Mbeya
109 DICKSON ELIA KILONZO P.O Box 232, MARA 110 NELVIN CHARLES P.O Box 200,
Msafiri Mwanza
111 KUZEIFA NAJIMU P.O Box 1249, 112 FURAHA WILSON P.O Box 0,
DEOGRATIAS Dodoma, Dodoma MWANJALA DODOMA
113 EWALD OSWALD MOSHI P.O Box 420, 114 NICKSON CUTHBERT P.O Box 27,
Dodoma Swai Kilimanjaro
115 AYONGELE ARKIPO P.O Box 31902, 116 DISMAS ISSACK P.O Box 433,
Ikwataki Dar Es Salaam Tuyangine Morogoro
117 MAKAMBI GELARD P.O Box 519, 118 REGINALD ANDREA P.O Box 443,
KASOGOTA KIGOMA MAGANI Masasi, Mtwara
119 EDWARD CHACHA P.O Box 196, 120 SALEHE SELEMANI P.O Box 201,
CHACHA Serengeti, Mara KASAGULA TABORA
121 STEWART JAMES P.O Box 2051, Ilala, 122 JEREMIA SAMWEL P.O Box 1249,
NDURUMA Dar es Salaam CHIDYAKA DODOMA
123 EMMANUEL JOSEPH P.O Box 187, 124 NEHEMIA NASHON P.O Box 1, MARA
Sadala Rukwa Chacha
125 WILLIAM MICHAEL P.O Box 60, 126 NICOLAS LINUS MAFFA P.O Box 164, Mbulu,
MSINGWA SINGIDA Manyara
127 ALFRED EZEKIEL P.O Box 45232, 128 WALII AMIRI MSUYA P.O Box 2448,
ZEPHANIA Temeke, Dar es Ubungo, Dar es
Salaam Salaam
4
. .
129 IDDY SIMONI MBWANA P.O Box 474, 130 LONGINUSS ODDO P.O Box 7, NJOMBE
Kilimanjaro Ngundala
131 BRIGTHON IGNATUS P.O Box 38, 132 JOSEPH DAUDI P.O Box 90,
BUBERWA Misenyi, Kagera BUNYOGA KILIMANJARO
133 ISMAIL ABDUL NASIBU P.O Box 376, 134 FAUSTINI EMANUEL P.O Box 3073,
Kinondoni, Dar es SIMA Dodoma, Dodoma
Salaam
135 EVERIUS HERMAN P.O Box 63, Moshi, 136 DEODATUS SEBASTIAN P.O Box 34830,
CHRISANT Kilimanjaro KAMANA PWANI
137 REVOCATUS BONIPHAC P.O Box 735, 138 WATON JORDAN P.O Box 596, GEITA
E MASINDE Ilemela, Mwanza SICHONA
139 ALLY KIMWELI P.O Box 347, 140 STEPHENE MHANDO P.O Box 31902,
Athumani Dodoma Mandia Dar Es Salaam
141 STEPHEN CHARLES P.O Box 10000, 142 SAIDI ALLY SAID P.O Box 343,
Magina Arusha Manyara
143 RICHARD PAUL P.O Box 1671, 144 SELEMAN ABDILLAH P.O Box 2330,
Magaritele Dodoma Mchinja Arusha
145 WINSTON CHIMOTO P.O Box 737,
MUGA Morogoro, Morogoro
5
Mwajiri: Halmashauri Ya Mji Mbulu
Kada: Mwandishi Mwendesha Ofisi Daraja La Ii (Office Management
Secretary Grade Ii)
Tarehe Ya Usaili Wa Vitendo: 2026-11-20 07:00:00
MAHALI: Community centre(Ukumbi wa maendeleo ya Jamii)
Tarehe Ya Usaili Wa Mahojiano: 2026-11-21 07:00:00
MAHALI: Comunity centre(Ukumbi wa maendeleo ya Jamii
. .
1 MELIDA HAWADI P.O Box 30112, 2 ALIMBILE SIBU NDEMBE P.O Box 166,
Tanganyika Pwani Morogoro
3 ELIZABETH SISTI JOHN P.O Box 2, 4 NEEMA NIKODEM P.O Box 1249,
Shinyanga Tindo Dodoma
5 CHIMPAYE JACKSON P.O Box 2, GEITA 6 ISSA ISMAIL NCHIKA P.O Box 1, SINGIDA
Daudi
7 JENIFA KIUREI P.O Box 15046, 8 ESTER BATRUMEO P.O Box 310902,
Meshekini Arusha Kiswaga Dar Es Salaam
9 FLORIANA AMONI P.O Box 22, 10 TREZIA BENDA P.O Box 196,
Mtipuliri Morogoro Mvukiye Kigoma
11 AKWINATHA ALOIS P.O Box 26, 12 JACKLINE YOHANA P.O Box 57,
Komba Tabora Malogo Dodoma
13 MECKRIDA EDWARD P.O Box 19, 14 ELIDA WILLIAM P.O Box 1249,
Kashindye Tabora Saideya Dodoma
15 REHEMA SIMON DAUDI P.O Box 174, 16 SIFAEL ROJAS P.O Box 660,
Tabora Silwimba Songwe
17 AGNES PETRO P.O Box 70, 18 LEONARD RWEIKIZA P.O Box 214,
Mangilaine Kagera Laurent Kagera
19 HAPPYNESS ZUBERY P.O Box 12, 20 JILE SEDEKIA P.O Box 174,
Said Kigoma Matonya Tabora
21 REVINA KOKUGONZA P.O Box 174, 22 SUZANA THOMAS P.O Box 1461, DAR
ROBERT Tabora, Tabora MAHENDA ES SALAAM
23 SHARON MALACKY P.O Box 11233, 24 VIVIAN IBRAHIMU P.O Box 383,
Samwel Arusha Wayda Manyara
25 NEEMA RAMADHANI P.O Box 55068, 26 KULUTHUMU RAMADHA P.O Box 10, PWANI
Sadiki Dar Es Salaam Ni Ibrahim
27 MAUREEN MASHAURI P.O Box 40060, 28 ADVELLA ZACHARIA P.O Box 20,
Masala Dar Es Salaam Joachim Mwanza
29 JOSEPH MUSSA P.O Box 139, GEITA 30 SOPHIA EXAVERY P.O Box 2291, DAR
Joseph Mwakajonga Es Salaam
31 GISBETH FILBETH P.O Box 149, 32 CHAUSIKU JUMA P.O Box 174,
Stansilaus Mbeya Nicodem Tabora
33 MSEYEKI SEMBEO P.O Box 526, 34 JENIPHA ELDEPHONCI P.O Box 236,
Saruni Singida Mmassy Singida
35 JEREMIAH BENSON P.O Box 1696, 36 AGAPE PETER P.O Box 27,
Karamata Dodoma Massawe Kilimanjaro
37 EBENI ARIRA P.O Box 46343, 38 NASMA MASUDI JAFARI P.O Box 194, MARA
Mbwambo Dar Es Salaam
6
. .
39 HAPPYNESS SIMON P.O Box 88, 40 PETER WANG'ENG'I P.O Box 176, MARA
Luchagula Mwanza Mwikwabe
41 MARIA JOSEPH HAULE P.O Box 149, 42 UMULKHERY ABUU P.O Box 358,
Mbeya Yombe Arusha
43 WINIFRIDA RAFAELY P.O Box 170, 44 REBECA SAMWEL P.O Box 284,
Masanja Tabora Bitungwa Kagera
45 DAUDI TITILA MSANGI P.O Box 34510, 46 MAHITI BAILENCE P.O Box 176, MARA
Dar Es Salaam Mgaya
47 GRECIOUS PASTORY P.O Box 329, 48 RHODASIA BAVUGA P.O Box 83,
Chambala Tabora Kibiriti Tabora
49 HUSNA MASHAKA P.O Box 754, 50 ZAINABU ABU KILAGWA P.O Box 562,
Kisale Mbeya Mbeya
51 ESTA JOSEPH P.O Box 61208, 52 EVARINE MTANI P.O Box 25,
Jackson Pwani Maembe Mwanza
53 ZUBEDA ATHUMAN P.O Box 174, 54 ZENIA WILLIAM P.O Box 97, DAR
Aman Tabora Kiharanya Es Salaam
55 MARTHA DISMAS P.O Box 2, 56 JULITHA VICENT P.O Box 178,
Girgis Manyara Kimaro Tanga
57 CHRISTINA WILSON P.O Box 1333, 58 SALU ZEPHANIA P.O Box 735,
Raphael Mwanza Matondo Mwanza
59 RAHELI PETER P.O Box 20, TANGA 60 CECYLIA PHILIPO P.O Box 16,
Shekigenda Ng'Ong'Onale Ruvuma
61 SABINA DOMINICO P.O Box 11030, 62 ADELINA ELIAS P.O Box 1333,
JOHN Ilemela, Mwanza KASWAHILI MWANZA
63 EMANUELA WILLIAM P.O Box 187, 64 MONICA WILLIAM P.O Box 352, GEITA
Mgogo Rukwa Sumuni
65 ATUPAKISYE NATHANIE P.O Box 34, 66 ALIKO LAZAROUS P.O Box 148,
L Ndile Dodoma Banjabile Mbeya
67 LEAH FESTO SICHONE P.O Box 194, 68 EDINA ORESTO P.O Box 13408,
Rukwa Mwenzegule Dar Es Salaam
69 AGNESS JOSEPH P.O Box 229, 70 RAHEL ADAM P.O Box 12,
Mgala Rukwa Mbatyani Dodoma
71 MAGRETH JEREMIA P.O Box 1112, 72 REBECCA LOTH P.O Box 9184,
EMANUELI DODOMA MKOMA Temeke, Dar es
Salaam
73 PATRICIA KOKUBUGANI P.O Box 202, 74 ANITHA KOKWENDA P.O Box 2002,
Za Cleophace Mwanza Anastaz Kagera
75 ELIZABETH THOMAS P.O Box 472, 76 FAUDHIA SALIMU SEIF P.O Box 214,
Faida Shinyanga Manyara
77 JENIPHER PHILEMON P.O Box 51, GEITA 78 JACKLINE FRANK P.O Box 46343,
Mbota Mosha Dar Es Salaam
79 NOVATH MWIJARUBI P.O Box 1207, 80 EDISONI DISMAS P.O Box 149,
Elijason Mbeya Mmbughu Mbeya
81 QUEEN ELIBARIKI P.O Box 7229, 82 JOSEPHINA KASTULI P.O Box 164, Mbulu,
SARAKIKYA ARUSHA SAYDA Manyara
83 ELINA ABEL WILLIUM P.O Box 10, PWANI 84 MKENDO MKUNGU P.O Box 26,
Venance Shinyanga
7
. .
85 TABITHA WILLIAM P.O Box 174, 86 STEPHANO FRED P.O Box 174,
Mlanji Tabora Sylivery Tabora
87 PAULINA HINTAY P.O Box 383, 88 JANETH ALPHONCE P.O Box 0, MBEYA
Mosheda Manyara Masimbani
89 DORICE ALFRED P.O Box 149, 90 EMMA AMOSI MBAJO P.O Box 80,
Mwaijele Mbeya Njombe
Limetolewa Na;
Mkurugenzi Wa Mji
Halmashauri Ya Mji Mbulu
8
Official Source
Verify names, dates, requirements and instructions in the official PDF published by Ajira Tanzania.
Opportunity status: Deadline not provided
