TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA MBOZI
tangazo la kuitwa kwenye usaili halmashauri ya wilaya ya mbozi is an official call for interviews published by Ajira Tanzania on 06 November 2026.
Announcement Details
Announcement type: Call for Interviews
Official reference: 46098afe-99f5-4753-85ae-2df4e071919e
Tangazo La Kuitwa Kwenye Usaili Halmashauri Ya Wilaya Ya Mbozi
Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Tawala Za Mikoa Na Serikali Za Mitaa
Halmashauri Ya Wilaya Ya Mbozi
Kumb.Na.A10/MDC/31''D''/167 06/11/2026
Tangazo La Kuitwa Kwenye Usaili
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba
kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 16/11/2026 hadi 17/11/2026 hatimaye kuwapangia vituo vya
kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo. Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo
yafuatayo:-
1. Usaili utafanyika kuanzia tarehe kama ilivyooneshwa kwenye tangazo hili muda na sehemu ambapo usaili
utafanyika umeainishwa kwa kila Kada.
2. Kila Msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi.
Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Mkazi, Kitambulisho cha Mpiga kura,
Kitambulisho cha kazi, Kitambulisho cha Uraia, Hati ya kusafiria, Leseni ya Udereva au barua ya
utambulisho kutoka Serikali ya Mtaa/Kijiji anachotoka.
3. Wasailiwa wa Kada ya Dereva II wenye leseni Daraja E au C wanapaswa kuja na vyeti vya mafunzo ya Udereva
vilivyowapatia sifa ya kupata madaraja husika, wasailiwa ambao hawatawasilisha vyeti hivyo siku ya
Hawataruhusiwa Kufanya Usaili.
4. Wasailiwa wanatakiwa kufika na VYETI VYAO HALISI, kuanzia cheti cha kuzaliwa, kidato cha IV, VI, Astashahada,
Stashahada, Stashahada ya Juu, Shahada na kuendelea kutegemeana na sifa za nafasi husika.
5. Wasailiwa watakaowasilisha ‘Testimonials, Provisional Results, Statement of results’, hati za matokeo za kidato
cha IV na VI (‘form IV and form VI results slips’) HAVITAKUBALIWA NA HAWATARUHUSIWA KUENDELEA NA
Usaili.
6. Kila msailiwa atajigharamia kwa Chakula, Usafiri na Malazi. Aidha kila msailiwa anapaswa kuhudhuria usaili akiwa
na mavazi nadhifu na yenye staha kulingana na Waraka wa mavazi.
7. Kila msailiwa azingatie tarehe, muda na mahali alipopangiwa kufanya usaili.
8. Kwa wasailiwa waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe Vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na Mamlaka
husika (kama TCU, NACTVET au NECTA).
9. Wasailiwa ambao hawajaona majina yao kwenye tangazo hili wanapaswa kuingia kwenye akaunti zao za ‘Ajira
Portal’ na kuona sababu za kutokuitwa kwao ili wasikose fursa wakati mwingine.
10. Wasailiwa wote walioitwa kwenye usaili wahakikishe wanaingia kwenye akaunti zao na kunakili namba ya usaili.
11. Wasailiwa ambao majina yao yanatofautiana katika nyaraka zao wanapaswa kuwasilisha Hati ya Kiapo cha
Kubadili Jina (Deed Poll) iliyosajiliwa na Wizara ya Ardhi.
12. Waombaji wote wa kazi wanakumbushwa kuwa ni marufuku kutoa au kupokea rushwa kwa lengo la kupata ajira au
kupangiwa kituo cha kazi. Mchakato wa ajira unazingatia misingi ya haki, usawa, na uwazi, kwa kuzingatia sifa
stahiki zilizoainishwa katika tangazo la kazi husika na muundo wa utumishi wa idara inayohusika.
Ratiba Ya Usaili Vitendo
Mwajiri Kada Tarehe Ya Usaili Mahali
Halmashauri ya Wilaya ya DEREVA DARAJA II 2026-11-16 07:00:00 UKUMBI WA HALMASHAUR
Mbozi (DRIVER II) I YA WILAYA YA MBOZI.
Halmashauri ya Wilaya ya MWANDISHI MWENDESHA 2026-11-16 07:00:00 UKUMBI WA HALMASHAUR
Mbozi OFISI DARAJA LA II I
(Office Management
Secretary Grade Ii)
Ratiba Ya Usaili Mahojiano
Mwajiri Kada Tarehe Ya Usaili Mahali
Halmashauri ya Wilaya ya DEREVA DARAJA II 2026-11-17 07:00:00 UKUMBI WA HALMASHAUR
Mbozi (DRIVER II) I YA MBOZI
Halmashauri ya Wilaya ya MWANDISHI MWENDESHA 2026-11-17 07:00:00 UKUMBI WA HALMASHAUR
Mbozi OFISI DARAJA LA II I
(Office Management
Secretary Grade Ii)
1
Mwajiri: Halmashauri Ya Wilaya Ya Mbozi
Kada: Dereva Daraja Ii (Driver Ii)
Tarehe Ya Usaili Wa Vitendo: 2026-11-16 07:00:00
Mahali: Ukumbi Wa Halmashauri Ya Wilaya Ya Mbozi.
Tarehe Ya Usaili Wa Mahojiano: 2026-11-17 07:00:00
Mahali: Ukumbi Wa Halmashauri Ya Mbozi
. .
1 HUSSEIN MUSSA P.O Box 0, TANGA 2 CALVIN ATHANAS P.O Box 6369,
Hussein Nibengo Mwanza
3 AMBWENE EDSON P.O Box 107, 4 YAHAYA MWINYIALLY P.O Box 1249,
Mwansasu Ruvuma Yahaya Dodoma
5 STANLEY ELIAS P.O Box 287, 6 IDRISA ISIHAKA P.O Box 45691,
NYENZA IRINGA MWINYIMKUU Temeke, Dar es
Salaam
7 MNASI RASHIDI P.O Box 52, Mbozi, 8 GIDEON EZEKIEL P.O Box 6562,
SAREHE Songwe MADENI MWANZA
9 ABDALLAH OMARY P.O Box 10, PWANI 10 RICHARD VINTAN P.O Box 132, DAR
Jegame Kimoga Es Salaam
11 PAULO FILIBERTH P.O Box 2320, 12 YUSUPH BATWEL P.O Box 149,
Mtweve Dodoma Mligo Mbeya
13 RAMADHANI SHOMARI P.O Box 0, DAR ES 14 RICHARD RUBEN P.O Box 19,
Kibwana Salaam Darushi Tabora
15 NURDIN ABDULRHMANI P.O Box 30230, 16 YASINI ISMAILI JAFARI P.O Box 350,
MALINDA Kibaha, Pwani Dodoma, Dodoma
17 PAUL ELIJAH KITTA P.O Box 682, Moshi, 18 KELVIN MWAKA P.O Box 1234,
Kilimanjaro TIMOTHEO KIGOMA
19 GABRIEL AMOSI P.O Box 10, 20 SHEDRACK PHILIPO P.O Box 292, DAR
Mbwana Morogoro Hyera Es Salaam
21 NEEMA DANIEL P.O Box 30112, 22 KASIAN JULIUS MVULA P.O Box 54,
Magambo Pwani Ruvuma
23 SALIM MSOPA P.O Box 15157, 24 MARKO KATELE P.O Box 20950,
MIKIDADI HATIBU Kinondoni, Dar es MUHUMBA DAR ES SALAAM
Salaam
25 ABTWALIB ALLY P.O Box 1999, 26 MARTIN SAIKO P.O Box 49,
Mwarabu Kilimanjaro Simwasita Dodoma
27 SHEDRACK PIUS NJOZI P.O Box 36, 28 TAMBWE NGOY P.O Box 1249,
Ruvuma Matabisi Dodoma
29 JOHNSON ABEID SAID P.O Box 52, 30 OSWARD ZACHARIA P.O Box 3,
Kilimanjaro Mwenda Songwe
31 ERNEST JORDAN P.O Box 620, 32 FAUSTIN FARAJA P.O Box 1629,
Mikao Njombe Msese Dodoma
33 ERICK ELIREHEMA P.O Box 339, 34 BARAKA RAPHAEL P.O Box 55068,
SWAI MOROGORO SANGA Ubungo, Dar es
Salaam
35 MORICE SADICK P.O Box 443, 36 AHMADI KHAMISI NANDI P.O Box 701,
Nanda Kigoma Mwanza
2
. .
37 MISHITA BARAKA P.O Box 1249, 38 ERNEST NELSON P.O Box 972,
Mishita Dodoma Mwambuga Mbeya
39 BWIRE ELIAS MARINDI P.O Box 24, MARA 40 BARAKA MATIKU P.O Box 1333,
Ambroce Mwanza
41 DISMAS MATHEW P.O Box 1, TANGA 42 AWARD KOMBO DAWA P.O Box 1910,
Mushi Mbeya
43 JACKSON ANDERSON P.O Box 1249, 44 HUSSEIN ALLY P.O Box 0, PWANI
Joab Dodoma Athumani
45 STANLEY NESTORY P.O Box 992, 46 CHRIS SILVIN MAJENGA P.O Box 52,
Mujunangoma Morogoro Kilimanjaro
47 JUNIOR BRUNO P.O Box 73, MBEYA 48 LONGINUSS ODDO P.O Box 7, NJOMBE
Mwaijande Ngundala
49 STEPHEN KAHEMA P.O Box 1928, 50 MUSHOMARI SHEHA P.O Box 2958, DAR
Mashenene Dodoma Gogo Es Salaam
51 ARONUS EDWARD P.O Box 2, 52 JUSTINE BATHUMAYO P.O Box 30112,
MWAKAMELE SONGWE KIVAMBA Kibaha, Pwani
53 SHABAN YAHAYA P.O Box 2517, 54 ABDALLAH ATHUMANI P.O Box 453,
SHEMBOZA Temeke, Dar es KAGYA Karagwe, Kagera
Salaam
55 JEREMIAH STUART P.O Box 13913, 56 GODLOVE FRANK P.O Box 405,
Heddi Dar Es Salaam Malekela Njombe
57 AYONGELE ARKIPO P.O Box 31902, 58 GODFREY PANCRAS P.O Box 55,
Ikwataki Dar Es Salaam Mbelle Ruvuma
59 JASTINI PETRO HAMISI P.O Box 149, 60 SHABANI YAHAYA P.O Box 445,
Mbeya Mapuli Arusha
61 EMMANUEL JOSEPH P.O Box 187, 62 SAMWELI SOLOMON P.O Box 176,
Sadala Rukwa Mchomvu Kilimanjaro
63 SHUKURU RASHIDI P.O Box 65, PWANI 64 TIMOTH RENATO P.O Box 14,
Ngwambi Challe Ruvuma
65 DENIS PANCRAS P.O Box 116, 66 JOSHUA PETER P.O Box 318, Mbozi,
CHAYEKA MOROGORO MKOPEKWA Songwe
67 ADAM ISSA IBRAHIM P.O Box 1249, 68 ABUBAKARI MOHAMEDI P.O Box 166,
Dodoma Kunga Morogoro
69 IBRAHIM PATRICKI P.O Box 64, 70 MUSSA MFAUME UTALY P.O Box 5555,
Chalamila Njombe Mbeya
71 BARAKA JEREMIAH P.O Box 149, 72 LUTIMO ELIUD P.O Box 9091,
MWAMTOBE MBEYA MWAKAWANGA Temeke, Dar es
Salaam
73 DEODATHUS DISMAS P.O Box 187, 74 AMONI HEZRONI P.O Box 2197,
SIMWELA RUKWA TIMOTH Dodoma, Dodoma
75 ADAM FESTO KUZIGANI P.O Box 1249, 76 WALII AMIRI MSUYA P.O Box 2448,
KA DODOMA Ubungo, Dar es
Salaam
77 FRED AGGREY P.O Box 1462, 78 HAJI MUSTAFA ISSA P.O Box 3468,
MASHANDA MWANZA Dodoma, Dodoma
79 JACKSON MATHIASY P.O Box 108, 80 FRANK DAMIAN P.O Box 39, Newala,
SINGAILE IRINGA CHOLLA Mtwara
81 BENJAMINI EZEKIEL P.O Box 1, 82 JASTINI JEREMIA P.O Box 44,
Benjamini Morogoro Nicorausi Kigoma
3
. .
83 BAHATI ANDREW P.O Box 2622, 84 HEBRONI HEDMAN P.O Box 14,
Mpereta Mara Mwanji Songwe
85 SAID HUSSEIN SAID P.O Box 55, 86 ABDULAZIZ IDRISA P.O Box 0, DAR ES
Ruvuma Kazai Salaam
87 AMIRI NYAMBI P.O Box 149, 88 YASINI SHABANI P.O Box 1249,
Kiyumbili Mbeya Forodha Dodoma
89 ISACK WILSON P.O Box 3574, 90 MOHAMED SUDY P.O Box 999, PWANI
Ngumije Mbeya Kizigo
91 EZEKIEL JAMES KIBUTA P.O Box 46343, 92 WILLIAM ALFRED P.O Box 135,
Temeke, Dar es MSOFE Mbinga, Ruvuma
Salaam
93 ANDREW PETER P.O Box 1249, 94 RAMADHANI SHABANI P.O Box 6314,
SINKALA DODOMA NESI Mbeya, Mbeya
95 ALI YAZIDU HAMISI P.O Box 845, 96 ANDREW PHILIPO P.O Box 45, IRINGA
Mtwara Chunga
97 YOHANA ISAAC SILAYO P.O Box 9721, DAR 98 MIRAJI ALLY MHANDO P.O Box 67578,
ES SALAAM Kinondoni, Dar es
Salaam
99 ABUBAKARI AMIRI P.O Box 904, 100 ALPHA REUBEN P.O Box 105,
MBAWALA Dodoma, Dodoma SHOSHO Dodoma, Dodoma
101 AKILEI ERASTO MATOI P.O Box 419, 102 JOEL JONES MKOJERA P.O Box 10, DAR
Mbeya Es Salaam
103 PETER PAULO MATUI P.O Box 24095, 104 LEONARD GEORGE P.O Box 1249,
Dar Es Salaam Mayembuka Dodoma
105 PETER JOSEPH P.O Box 148, 106 JOEL RAPHAEL P.O Box 2722,
Kasumeni Mbeya Mgonzo Dodoma
107 RAFII MSUMARI JAMBIA P.O Box 100, 108 ASENI KAJIPELEKE P.O Box 23001,
Temeke, Dar es MANDA Kinondoni, Dar es
Salaam Salaam
109 NDAISHIMIE P.O Box 14126, 110 TERIANI JUMA TEONASI P.O Box 30112,
GOODLUCK NCHUMUY DAR ES SALAAM Kibaha, Pwani
E
111 FATUMA JUMA P.O Box 200, DAR 112 HOSEA DANIEL P.O Box 44, SIMIYU
Magembe Es Salaam Hoyanga
113 STEVEN SEBASTIAN P.O Box 149, 114 MISA TENNING P.O Box 149,
MAHENGE Mbeya, Mbeya HALINGA MBEYA
115 ZEBRON NJALANGULU P.O Box 280, Kyela, 116 JACOB JAPHET P.O Box 0, PWANI
MWAKIPESILE Mbeya KASOKILE
117 EMMANUEL PHARES P.O Box 40, 118 HASSANI MGAYA P.O Box 102,
MNYANDWA MOROGORO MWAMELE Singida, Singida
119 STEPHEN CHARLES P.O Box 10000, 120 EMMANUEL ATHANAS P.O Box 61,
Magina Arusha Mahenge Njombe
121 BARAKA MUSA P.O Box 44, SIMIYU 122 WATON JORDAN P.O Box 596, GEITA
Hoyanga Sichona
123 ALFRED EZEKIEL P.O Box 45232, 124 KATETY ATHUMAN P.O Box 40160,
ZEPHANIA Temeke, Dar es HAMIS DAR ES SALAAM
Salaam
125 AGUSTINO KASTORI P.O Box 0, 126 AIVAN JULIUS MAGAFU P.O Box 156,
Saqware Songwe Singida
4
. .
127 SAMSONI BONIFACE P.O Box 149, 128 JANETH JOE MFINANGA P.O Box 1079,
MANG'OMBE MBEYA Kilosa, Morogoro
129 EBO MUSA MBUKWA P.O Box 66, 130 DENIS JOHN MSHANA P.O Box 87, Ilala,
SONGWE Dar es Salaam
131 STEPHENE MHANDO P.O Box 31902, 132 THEONEST SHILING P.O Box 149,
MANDIA DAR ES SALAAM GREGORY Mbeya, Mbeya
133 IBRAHIMU KAMBI P.O Box 30456, 134 JOSEPH NDALILE P.O Box 891,
SALUMU Kibaha, Pwani CHAMBALO DODOMA
135 BAKARI HAMZA Pwani 136 ALLEN GERALD P.O Box 2516,
MPENDU MPELEMBWA Mbeya, Mbeya
137 ANTHONY SIMON 138 FRANCIS OSIAH P.O Box 216,
Nyakubusa Mwasomola Katavi
139 OSTINI OSTINI NYIKA P.O Box 20, MBEYA 140 REVOCATUS BONIPHAC P.O Box 735,
E MASINDE Ilemela, Mwanza
5
Mwajiri: Halmashauri Ya Wilaya Ya Mbozi
Kada: Mwandishi Mwendesha Ofisi Daraja La Ii (Office Management
Secretary Grade Ii)
Tarehe Ya Usaili Wa Vitendo: 2026-11-16 07:00:00
Mahali: Ukumbi Wa Halmashauri
Tarehe Ya Usaili Wa Mahojiano: 2026-11-17 07:00:00
Mahali: Ukumbi Wa Halmashauri
. .
1 VAILETH MUSA TWEVE P.O Box 3, 2 AGNESS JOSEPH P.O Box 229,
Songwe Mgala Rukwa
3 SIFAEL ROJAS P.O Box 660, 4 GISBETH FILBETH P.O Box 149,
Silwimba Songwe Stansilaus Mbeya
5 MWAJUMA SHAFII P.O Box 92, 6 ADVELLA ZACHARIA P.O Box 20,
Rashidi Mtwara Joachim Mwanza
7 SHARON MALACKY P.O Box 11233, 8 VAILET JACKOBU P.O Box 149,
Samwel Arusha Salum Mbeya
9 JANETH ALPHONCE P.O Box 0, MBEYA 10 EMMA AMOSI MBAJO P.O Box 80,
Masimbani Njombe
11 DORICE ALFRED P.O Box 149, 12 GROLIA OSMUND P.O Box 995,
Mwaijele Mbeya Mwingira Ruvuma
13 MARIA JOSEPH HAULE P.O Box 149, 14 AGNES PETRO P.O Box 70,
Mbeya Mangilaine Kagera
15 LEONARD RWEIKIZA P.O Box 214, 16 ZENIA WILLIAM P.O Box 97, DAR
Laurent Kagera Kiharanya Es Salaam
17 ZUBEDA ATHUMAN P.O Box 174, 18 VICTORIA HAMISI P.O Box 174,
Aman Tabora Makanyaga Tabora
19 FEBRANIA THADEO Mbeya 20 RAHMA OMARY KATABI P.O Box 1727,
Deo Kilimanjaro
21 JOHA HASSAN HAMISI P.O Box 214, 22 ELIZABETH SISTI JOHN P.O Box 2,
Dodoma Shinyanga
23 MELIDA HAWADI P.O Box 30112, 24 MAYASA MOSES P.O Box 149,
Tanganyika Pwani Mwasubila Mbeya
25 ESTA JOSEPH P.O Box 61208, 26 EBENI ARIRA P.O Box 46343,
Jackson Pwani Mbwambo Dar Es Salaam
27 ERKATEKLA PHAMPHILI P.O Box 523, 28 SARA GODA NDEMANG P.O Box 149,
Shauri Dodoma E Mbeya
29 SIKUDHANI RICHARD P.O Box 76, IRINGA 30 ZAINABU ABU KILAGWA P.O Box 562,
Nyigo Mbeya
31 RAHEL ADAM P.O Box 12, 32 JACKLINE YOHANA P.O Box 57,
Mbatyani Dodoma Malogo Dodoma
33 METHOD KAPALU P.O Box 116, GEITA 34 YULITHA SHINDIKA P.O Box 83,
Tizilukwa Mathias Tabora
35 HAMIDA HASSAN P.O Box 49, 36 RAHELI PETER P.O Box 20, TANGA
Haruna Dodoma Shekigenda
37 NEEMA RAMADHANI P.O Box 55068, 38 BEATRICE BATON P.O Box 2292,
Sadiki Dar Es Salaam Mwanyanje Mbeya
6
. .
39 SUZANA THOMAS P.O Box 1461, DAR 40 NEEMA ALLY P.O Box 70,
Mahenda Es Salaam Mwenisongole Songwe
41 HUSNA MASHAKA P.O Box 754, 42 KATHERIN AGREY P.O Box 92,
Kisale Mbeya Mgimba Mtwara
43 RABIA HAMISI P.O Box 1070, LINDI 44 NASMA MASUDI JAFARI P.O Box 194, MARA
Abdallah
45 CATHELINI DICKSON P.O Box 2324, 46 ELIZABETH OBED P.O Box 901,
Mbeve Iringa Chaula Iringa
47 REHEMA SIMON DAUDI P.O Box 174, 48 IRENE MARTINI MLUGU P.O Box 44, DAR
Tabora Es Salaam
49 GODFREY BIEMO P.O Box 1207, 50 SALU ZEPHANIA P.O Box 735,
Misana Mbeya Matondo Mwanza
51 CHAUSIKU JUMA P.O Box 174, 52 FLORIANA AMONI P.O Box 22,
Nicodem Tabora Mtipuliri Morogoro
53 JOSEPHINE PHILIPO P.O Box 988, 54 TREZIA BENDA P.O Box 196,
Alphonce Mwanza Mvukiye Kigoma
55 KULUTHUMU RAMADHA P.O Box 10, PWANI 56 HAMIDA SELEMANI P.O Box 162,
Ni Ibrahim Nyomolelo Iringa
57 MAGEKE MAJUTO P.O Box 712, 58 MARIA HAMISI MZUMA P.O Box 92,
Andrew Shinyanga Mtwara
59 JENIFA KIUREI P.O Box 15046, 60 ELIDA WILLIAM P.O Box 1249,
Meshekini Arusha Saideya Dodoma
61 HAMADI ALLY CHARLES P.O Box 50, PWANI 62 LOVENES BUCHUMI P.O Box 174,
Nyantabo Tabora
63 LUTH JORDAN GIDION P.O Box 149, 64 MEMORY BATONI P.O Box 149,
Mbeya Kamanga Mbeya
65 CLARA FRANCIS TSUUT P.O Box 138, 66 ZAINA JUMA MWENDI P.O Box 20, TANGA
Dodoma
67 WINIFRIDA RAFAELY P.O Box 170, 68 ATUPAKISYE NATHANIE P.O Box 34,
Masanja Tabora L Ndile Dodoma
69 SHANI KOKULEBA P.O Box 174, 70 ELENZIAN MATIAS P.O Box 118,
Twaibu Tabora Mapunda Ruvuma
71 SHANGWE BARTON P.O Box 0, DAR ES 72 ANNA FOCAS P.O Box 174,
Mwakaje Salaam Mwanandenje Rukwa
73 ANJERA JEREMIA P.O Box 83, 74 LEILA BONIPHACE P.O Box 20950,
Ntabindi Tabora Richard Dar Es Salaam
75 SWAIBA YAHYA P.O Box 92,
Mayunda Mtwara
Limetolewa Na;
Mkurugenzi Mtendaji
Halmashauri Ya Wilaya Ya Mbozi
7
Official Source
Verify names, dates, requirements and instructions in the official PDF published by Ajira Tanzania.
Opportunity status: Deadline not provided
