Job Overview
Employer: MDAs & LGAs
Advert reference: Ajira #13310
Role: MWALIMU DARAJA LA III B – (ELIMU MAALUM)
Open posts: 7 positions
Published: 22 March 2026
Deadline: 04 April 2026
Salary scale: TGTS C
Duties and Responsibilities
- Kuandaaazimiolakazi,maandalioyamasomo,nukuuzamasomona Mpango wa Kazi wa majukumu mengine aliyokabidhiwa;
- utengenezanaKufaraghuazanazakufundishianakujifunzia;
- Kufundisha,kufanyaTathimininakutunzakumbukumbuzaMaendeleoya Wanafunzi;
- KusimamianakufuatiliamahudhurioyawanafunziShuleninaDarasani;
- KusimamiamaleziyawanafunziKiakili,Kimwili,Kirohonakutoaushauri nasaha na unasihi;
- Kutoaushauriwakitaalamunakitaalumakuhusumaendeleoya Elimu;
- Kusimamianautunzajiwavifaanamalizashule; na
- KazinyingineatakazopangiwanaMkuuwaShulekulingananamajukumuya Shule.
Qualifications
Kuajiriwa mwenye cheti cha Mtihani wa Taifa wa Kidato cha nne/sita ambaye amefaulu masomo mawili au zaidi yanayofundishwa shuleni na kufaulu mafunzo ya Stashahada ya Ualimu wa Elimu Maalum kutoka Vyuo vya Ualimu vinavyotambulika na Serikali.
How to Apply
Submit your application through the official Ajira Portal. Use the advert reference above if the portal opens at the vacancies list.
