MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA LA II (RECORDS MANAGEMENT ASSISTANT II) at Halmashauri ya Wilaya ya Liwale

    Job Overview

    Employer: Halmashauri ya Wilaya ya Liwale

    Advert reference: Ajira #13407

    Role: MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA LA II (RECORDS MANAGEMENT ASSISTANT II)

    Open posts: 7 positions

    Published: 17 March 2026

    Deadline: 30 March 2026

    Salary scale: TGS C

    Duties and Responsibilities

    1. Kuorodhesha barua zinazoingia Masjala kwenye regista (incoming correspondence register)
    2. Kuorodhesha barua zinazotoka nje ya taasisi (outgoing correspondence register)
    3. Kusambaza majalada kwa Watendaji (action officers)
    4. Kupokea majalada  kwa Watendaji (action officers)
    5. Kupokea majalada yanayorudi masjala toka kwa Watendaji
    6. Kurudisha majalada kwenye shabaka/kabati la majalada(racks/filling cabinets) au mahali pengine yanapohifadhiwa
    7. Kufuatilia mzunguko wa majalada ndani ya Taasisi (file tracking)

    Qualifications

    Kuajiriwa mwenye amehitimu Elimu ya Kidato cha Nne (IV) au Kidato cha Sita (VI) aliyehitimu Stashahada (NTA level 6) katika fani ya Utunzaji Kumbukumbu kutoka Vyuo vinavyotambuliwa na Serikali, mwenye ujuzi wa Kompyuta.

     

    How to Apply

    Submit your application through the official Ajira Portal. Use the advert reference above if the portal opens at the vacancies list.