TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA
tangazo la kuitwa kazini taasisi mbalimbali za umma is an official placements published by Ajira Tanzania on 07 October 2026.
Announcement Details
Announcement type: Placements
Official reference: 27b73927-6ab8-459f-bd68-abb83c04e3df
Tangazo La Kuitwa Kazini Taasisi Mbalimbali Za Umma
Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Ofisi Ya Rais
Sekretarieti Ya Ajira Katika Utumishi Wa Umma
Kumb. Na. JA. 9/ 18/01"E"/64 07/10/2026
Tangazo La Kuitwa Kazini
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji
kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 24-10-2025 na tarehe 05-09-2026
kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika
tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye
kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya
nafasi kupatikana
Wasailiwa wote waliofaulu usaili na kupangiwa vituo vya kazi, BARUA zao za
kupangiwa vituo vya kazi watazipata kupitia AKAUNTI zao za Ajira Portal kwenye
sehemu ya My Applications, hivyo watapaswa kupakua na kutoa nakala (Download and
Print) barua hizo na Kwenda nazo kuripoti katika vituo vya kazi walivyopangiwa.
Aidha, waombaji kazi waliofaulu usaili na kupangiwa kituo cha kazi wanatakiwa kuripoti kwa
Mwajiri katika muda ambao umeainishwa kwenye barua za kupangiwa kituo cha kazi wakiwa
na vyeti halisi (Originals Certificates) za masomo kuanzia kidato cha nne na kuendelea ili
vihakikiwe na mwajiri kabla ya kupewa barua ya Ajira. Kwa wale ambao majina yao hayapo
katika tangazo hili watambue kuwa hawakupata nafasi/hawakufaulu usaili, hivyo wasisite
kuomba kwa mara nyingine nafasi za kazi zitakapotangazwa.
Page 1 of 10
1 Bodi ya Taifa ya Wahasibu na MHASIBU DARAJA LA II Bodi ya Taifa ya Wahasibu 1 JOSEPH BEATUS NGAIRO
Wakaguzi wa Hesabu (ACCOUNTANT GRADE II) na Wakaguzi wa Hesabu
2 Matern Robert Matern
Tanzania(NBAA) Tanzania(NBAA)
3 Nice Johnson Lemurua
MKAGUZI WA NDANI Bodi ya Taifa ya Wahasibu
DARAJA II (INTERNAL na Wakaguzi wa Hesabu 1 KEDRAI BENARD BIKEBUKA
AUDITOR GRADE II) Tanzania(NBAA)
2 Halmashauri ya Mji Kasulu AFISA WA SHERIA Halmashauri ya Mji Kasulu
Daraja La Ii (Legal 1 Venancia Israel Rufumbo
Officer Grade Ii)
3 Halmashauri ya Wilaya ya AFISA USTAWI WA JAMII Halmashauri ya Wilaya ya
Bukombe DARAJA LA II (SOCIAL Bukombe
1 Modester Masanja Gwisu
Welfare Officer
Grade Ii)
FUNDI SANIFU DARAJA Halmashauri ya Wilaya ya 1 HELENA MAYALA MBUMBA
LA II UJENZI- (CIVIL Bukombe
2 Joseph Paul Mabula
Technician Grade Ii)
INFORMATION Halmashauri ya Wilaya ya
COMMUNICATION Bukombe
1 Dominic Deogratus Kimaro
Technology Officer
Ii (Networking)
MFAMASIA DARAJA LA II Halmashauri ya Wilaya ya
1 Rogers Bahati Amede
(PHARMACIST GRADE II) Bukombe
4 Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu AFISA TEHAMA II – FANI Halmashauri ya Wilaya ya
YA USIMAMIZI WA Kasulu
Abdulkarim Mohamed
Mitandao Ya Tehama 1
Ngulangwa
(Network
Adiministrator)
5 Halmashauri ya Wilaya ya Magu FUNDI SANIFU DARAJA Halmashauri ya Wilaya ya
LA II – MITAMBO Magu
1 Stephen Michael Nkwabi
(Technician Grade Ii
Mechanical)
Page 2 of 10
MSAIDIZI WA AFYA Halmashauri ya Wilaya ya 1 AZIZA SHABANI BAYANGA
DARAJA LA I (HEALTH Magu
2 Beatrice Charles Moitha
Assistant Grade I)
3 Ester Samson Malingumu
4 Patricia Edward Kifaru
5 Subira Shabani Nyanda
MWALIMU DARAJA LA III Shule ya Sekondari
1 Scolastica Steven Yambi
B – KEMIA (CHEMISTRY ) Kongolo
MWALIMU DARAJA LA III Shule ya Sekondari Bujashi
C – Kiingereza 1 Nuru Yisikaka Anania
(English)
MWALIMU DARAJA LA III Shule ya Sekondari
1 Grim William Sikalumbi
C – KISWAHILI Bukandwe
MWALIMU DARAJA LA IIIA Shule ya Msingi Bugando 1 PASCALINA SIXBETUS MASKINI
(Teacher Grade Iiia)
Shule ya Msingi Buhumbi 1 LITHA JOSEPH MPILI
Shule ya Msingi Galamugi 1 JULIANA ADAMU THOMAS
Shule ya Msingi Ikelebelo 1 GLORIANA RAFAEL MMBANDO
Shule ya Msingi Itandula 1 HAPPYNESS PAULO TSUHAY
Shule ya Msingi Itumbili 1 HAPPYNESS MSANGI BUMIJA
Shule ya Msingi Kisabo 1 LAISHA ABDALLAH NGUDE
Shule ya Msingi Kisesa `a` 1 FLORA EVARISTO MGIMBA
Shule ya Msingi Kitongo 1 PILI NG'HABI MPEMBA
Shule ya Msingi Magu 1 MWAMVITA KEBEHI SALEHE
Shule ya Msingi Matale 1 MARIA PAULO NHIGA
Shule ya Msingi Mwalinha 1 JENIFRIDA PETER AMSI
Shule ya Msingi Ngashe 1 MARY RIZIKI GIBSON
Shule ya Msingi Nsola 1 GRACE JACOB KITALI
Shule ya Msingi Nyalikungu 1 LATIFA TWALHA MSATI
Page 3 of 10
2 Naomi Yona Mwenge
Shule ya Msingi
1 Felista Yudah Mkude
Nyambitilwa
Shule ya Msingi Sagani 1 WINIFRIDA ERASMI MARANDU
Shule ya Msingi Wita 1 MARIA JOHN CHARLES
2 Tatu Masumbuko Bugongoe
TABIBU DARAJA LA II Halmashauri ya Wilaya ya 1 AMBROSE OBEDI SANYE
(CLINICAL OFFICER Magu
2 Faraja Godspel Macha
Grade Ii)
Khadija Abdulkhery
3
Mkumbwa
4 Prisca Yona Mhoko
5 Rhoda Emily Nyungura
6 Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga AFISA MIFUGO MSAIDIZI Halmashauri ya Wilaya ya 1 DORKAS DAUDI AKONAAY
DARAJA LA II Mwanga
(Livestock Field 2 Gayo Michael Mwavika
Officer Grade Ii)
MSAIDIZI WA AFYA Halmashauri ya Wilaya ya 1 EVA JUSTIN MWAKASANGA
DARAJA LA I (HEALTH Mwanga
2 Rodaster Aidan Mnyabu
Assistant Grade I)
3 Shani Exavery Kilamlya
4 Stella Leonard Lyanga
MSANIFU MAJENGO Halmashauri ya Wilaya ya
Emmanuel Ladislaus
DARAJA LA II Mwanga 1
Kiyenze
(Architect Grade Ii )
MWALIMU DARAJA LA III Shule ya Sekondari Kivisini
C – Jiografia 1 Briton Bartista Mahenge
(Geography)
MWALIMU DARAJA LA III Shule ya Sekondari Kivisini
C – Kiingereza 1 Felix Festo Kilatenga
(English)
Page 4 of 10
MWALIMU DARAJA LA III Shule ya Sekondari kighare
1 Peter Msafiri Mnkeni
C – Kiswahili
MWALIMU DARAJA LA IIIA Shule ya Msingi
1 Husna Saidi Hatibu
(TEACHER GRADE IIIA) Changalavo
Shule ya Msingi Dr. Omari 1 HILDA DEUS BUDAKA
Shule ya Msingi Emangulai 1 ELIZABETH TIBALILA FAUSTINE
Shule ya Msingi Kiriki 1 AMINA TITO MWITA
2 Maua Makaka Paulo
Shule ya Msingi Kiverenge 1 ROSE MAFURU MTAJU
Shule ya Msingi kivindu 1 FAUDHIA SHAIBU ISSA
Shule ya Msingi Kwakihindi IRENE SPERATUS
1
Rweyemamu
Shule ya Msingi kwakoa 1 SALMA MRISHO NZOTA
Shule ya Msingi
1 Yasinta Sadoki Chaula
kwamsembea
Shule ya Msingi ndea HAPPYNESS ALEXANDER
1
Ntapali
Shule ya Msingi Rangaa 1 SAIDA RAJABU MTAJI
Shule ya Msingi Ruru 1 ZULEA JAFARI JUMA
TABIBU DARAJA LA II Halmashauri ya Wilaya ya 1 BENSON DAUD MWAJOMBE
(CLINICAL OFFICER Mwanga
Chrispine Chrizostom
Grade Ii) 2
Ntunga
3 Godlove Kaiza Lulambo
4 Gospel Saidi Obando
5 Makune Kiyumbi Malongo
Page 5 of 10
7 Halmashauri ya Wilaya ya Same AFISA KILIMO MSAIDIZI Halmashauri ya Wilaya ya 1 EDITHA ROGATUS MAPUNDA
DARAJA LA II Same
2 Grace Atieno Okombo
(Agricultural Field
Kostantine Kuluchumila
Officer Ii)
3
Wilbad
4 Levina Antony Mlumange
AFISA MAENDELEO YA Halmashauri ya Wilaya ya 1 YASINTA JOHN MIZAMBWA
JAMII DARAJA II Same
(Community
2 Yosepha Bernard Hyera
Development Officer
Grade Ii)
AFISA MUUGUZI DARAJA Halmashauri ya Wilaya ya
LA II (NURSING OFFICER Same 1 BESTINA MGETA JUBILEE
Ii)
MSAIDIZI WA AFYA Halmashauri ya Wilaya ya 1 CHUBWA MATHIAS ALFRED
DARAJA LA I (HEALTH Same
2 Paskalina Exavery Sanga
Assistant Grade I)
3 Sidin Tadeus Spika
MWALIMU DARAJA LA III Shule ya Sekondari Angela
1 Tumsifu Deodatus Shibanda
B – KEMIA (CHEMISTRY ) Kairuki
MWALIMU DARAJA LA IIIA Shule ya Msingi Changulue 1 NASRA ALY NDEKA
(Teacher Grade Iiia)
Shule ya Msingi Dindimo 1 JACKLINA ADROFU VICENT
Shule ya Msingi Kwizu 1 STELLA MATHIAS ISSANGYA
Shule ya Msingi Mshewa BATULI ABDURAHAMANI
1
Kindimbo
Shule ya Msingi Mvaa 1 ELIZABETH MUSYEI LESKARI
Shule ya Msingi Ngujini 1 FARIDA RAYMOND CHONGOLO
Shule ya Msingi Putu 1 MASTURA HAMISI RAMADHANI
Shule ya Msingi Tintini 1 DOLLA ELIAS KALINGA
Page 6 of 10
8 Halmashauri ya Wilaya ya Siha AFISA LISHE DARAJA LA Halmashauri ya Wilaya ya
II (NUTRITION OFFICER Siha 1 DAINESS EMMANUEL MOSHI
Grade Ii)
AFISA MAENDELEO YA Halmashauri ya Wilaya ya
JAMII DARAJA II Siha
(Community 1 Isaya Isack Samwel
Development Officer
Grade Ii)
AFISA MIFUGO MSAIDIZI Halmashauri ya Wilaya ya
DARAJA LA II Siha
1 Jesca Jonathan Makala
(Livestock Field
Officer Grade Ii)
AFISA USTAWI WA JAMII Halmashauri ya Wilaya ya
DARAJA LA II (SOCIAL Siha ADELINA NSAJIGWA
1
Welfare Officer Mwasomola
Grade Ii)
MWALIMU DARAJA LA III Shule ya Sekondari DENITHA TULAHEBWAMUNGU
1
B – BAIOLOJIA (BIOLOGY) Ormelili DEUS
MWALIMU DARAJA LA III Shule ya Sekondari Kilingi
1 Venance Acken Mwaipwiss
B – Kemia (Chemistry )
MWALIMU DARAJA LA III Shule ya Sekondari
1 Sauli Julius Msukwa
C – KIINGEREZA Mitimirefu
(English)
Shule ya Sekondari
1 Salimu Green Nyasalandi
Wasichana Kilimanjaro
MWALIMU DARAJA LA III Shule ya Sekondari
1 Elipendo Leonard Malita
C – KISWAHILI Namwai
Shule ya Sekondari
1 Roda Anjelo Mlwale
Orkungu
MWALIMU DARAJA LA IIIA Shule ya Msingi Kandashi 1 SAIDI GWELO HINTAY
(Teacher Grade Iiia)
Shule ya Msingi Lemosho 1 SAID SHOMARY NDOMONDO
2 Shariff Salim Kibwakazi
Page 7 of 10
Shule ya Msingi Lomakaa 1 JANUARY PATRICK MHIDZE
Shule ya Msingi Neema 1 RICHARD ADAMU ISSA
Shule ya Msingi Solomon 1 MARTINE EVODIUS RWEKAZA
Shule ya Msingi Wanri Kati 1 JAMES SITA SIMON
Shule ya Msingi Wiri 1 HENOKO ERASTO GABRIEL
TABIBU DARAJA LA II Halmashauri ya Wilaya ya
(CLINICAL OFFICER Siha 1 SAMIR SALUM ABDALLA
Grade Ii)
9 Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu AFISA KILIMO MSAIDIZI Halmashauri ya Wilaya ya
DARAJA LA II Ushetu
1 Frank Marco Daniel
(Agricultural Field
Officers Ii)
AFISA MIFUGO MSAIDIZI Halmashauri ya Wilaya ya 1 EDISON JOHN HIZA
DARAJA LA II Ushetu
(Livestock Field 2 Mwajuma Iddy Juma
Officer Grade Ii)
AFISA WANYAMAPORI Halmashauri ya Wilaya ya
DARAJA LA II (GAME Ushetu 1 SHARIFU RAMADHAN JUMA
Officer Ii)
MSAIDIZI WA AFYA Halmashauri ya Wilaya ya
DARAJA LA I (HEALTH Ushetu 1 CECILIA JOSEPH KISIMA
Assistant Grade I)
MWALIMU DARAJA LA III Shule ya Sekondari
B – TEHAMA Makongoro
(Information And 1 Cleofas Fidelis Kamsweke
Communication
Technology)
MWALIMU DARAJA LA III Shule ya Sekondari
1 John George Pangahela
C – HISTORIA (HISTORY) Nsunga B
MWALIMU DARAJA LA IIIA Shule ya Msingi Itembele 1 TRASEAS MWESIGA THOMAS
(Teacher Grade Iiia)
Shule ya Msingi Kigwa 1 ABEDNEGO EDWARD MLAWA
Page 8 of 10
Shule ya Msingi Ngilimba 1 SAIDI HASSANI MAGANGA
Shule ya Msingi Nonwe B 1 NEEMA FAUSTINI FOBESH
2 Rayson Ignas Komba
Shule ya Msingi Ntunguru 1 FARAJA MIYANGI MAKALA
Shule ya Msingi Ulewe 1 PHILIPO NG'WANISHI NZALI
2 Rebeka Lucas Lusesa
3 Veneranda Charles Kessy
Shule ya Msingi Zobogo 1 JULIUS ANSELUMU KISANGA
TABIBU DARAJA LA II Halmashauri ya Wilaya ya 1 ABTWALIB RASUL ABDALLAH
(CLINICAL OFFICER Ushetu
2 Amisa Blastus Shentembo
Grade Ii)
3 Anna Clemence Gabriel
4 Jesca Dominick Shayo
5 Kalekwa Iddy Mkwabi
6 Rhoda Moris Mdimu
7 Tamasha Mussa James
8 Zainabu Bakari Nyanda
10 Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza MWALIMU DARAJA LA IIIA Shule ya Msingi Moto 1 LUCY PHILIPO MARKO
(Teacher Grade Iiia)
2 Pendo Felix Ngoti
11 Mamlaka ya Serikali Mtandao ICT OFFICER GRADE II Mamlaka ya Serikali
(eGA) (STANDARDS AND Mtandao (eGA) 1 GODLOVE AGUSTINO KAPUFI
Compliance)
ICT OFFICER GRADE II Mamlaka ya Serikali 1 EMANUEL FREDRICK CHANDO
(BUSINESS ANALYST) Mtandao (eGA)
ICT OFFICER GRADE II Mamlaka ya Serikali
(DATABASE Mtandao (eGA) 1 AMIDU JAPHARY KASHOZI
Administration)
Page 9 of 10
ICT OFFICER GRADE II Mamlaka ya Serikali
1 Celine Faustine Mnyabwilo
(HELPDESK) Mtandao (eGA)
ICT OFFICER GRADE II Mamlaka ya Serikali 1 AKIM PIUS MSENGA
(NETWORK Mtandao (eGA)
2 Leila Boaz Mwakalelesya
Management)
ICT OFFICER GRADE II Mamlaka ya Serikali 1 ANNA AYUBU ATHUMAN
(PROJECT Mtandao (eGA)
2 Ephraim Charles Sangura
Management)
ICT OFFICER II Mamlaka ya Serikali 1 DERICK LAZARO MIAGIE
(APPLICATION Mtandao (eGA)
2 Pius Baraka Semufali
Programmer)
12 Ofisi ya Msajili wa Vyama vya MHASIBU DARAJA LA II Ofisi ya Msajili wa Vyama
1 Tarajia George Kaguo
Siasa (ACCOUNTANT GRADE II) vya Siasa
Limetolewa Na;
Katibu
Sekretarieti Ya Ajira Katika Utumishi Wa Umma
Page 10 of 10
Official Source
Verify names, dates, requirements and instructions in the official PDF published by Ajira Tanzania.
Opportunity status: Deadline not provided
About the author
Related posts
TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA
TANGAZO LA KUITWA KAZINI CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM
TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA
TANGAZO LA KUITWA KAZINI SHIRIKA LA RELI TANZANIA
TANGAZO LA KUITWA KAZINI CHUO KIKUU ARDHI
