TANGAZO LA KUITWA KAZINI CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM
tangazo la kuitwa kazini chuo kikuu cha dar es salaam is an official placements published by Ajira Tanzania on 05 October 2026.
Announcement Details
Announcement type: Placements
Official reference: d7c04cf3-e19c-4b24-a845-30e28cff9065
Tangazo La Kuitwa Kazini Chuo Kikuu Cha Dar Es Salaam
Chuo Kikuu Cha Dar Es Salaam
Kumb. Na. CA. 213/304/01/20 5 Oktoba, 2026
Tangazo La Kuitwa Kazini
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kinapenda kuwataarifu waombaji kazi mbalimbali
waliofanya usaili tarehe 15 hadi 18 Septemba, 2026 kuwa, majina ya waombaji kazi
waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili.
Waombaji waliofaulu usaili watatakiwa kukamilisha taratibu mbalimbali za ajira kwa kufika
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) jengo la Utawala, Ofisi ya Masijala, Chumba Na.
315 siku ya Jumatatu, tarehe 12 Oktoba, 2026 kuanzia saa tatu kamili asubuhi, wakiwa
na nyaraka zilizoainishwa katika tangazo hili ili ziweze kuhakikiwa kabla ya kupewa barua
za ajira.
Kwa wale ambao majina yao hayapo katika tangazo hili, watambue kuwa hawakupata
nafasi/hawakufaulu usaili, hivyo wasisite kuomba kwa mara nyingine pindi nafasi za kazi
zitakapotangazwa.
Nyaraka za kuwasilisha ni kama ifuatavyo:
Vyeti halisi (Original Certificates and Transcripts) na nakala mbili za vyeti hivyo
ambazo zimethibitishwa na Mamlaka za kisheria (certified by
Advocate/Magistrate) vya masomo kuanzia kidato cha nne na kuendelea;
Cheti cha kuzaliwa;
Nakala ya Kitambulisho cha Taifa (NIDA); na
Picha ndogo nne za rangi (four coloured passport size photographs)
Majina Ya Waliofaulu Usaili Wa Mahojiano Na Kupangiwa Vituo Vya
Kazi Katika Kada Mbalimbali
Na. Kada Jina Kamili
1. Tutorial Assistant (Entrepreneurship and 1. Godfrey Elibariki Nyange
Innovation)
2. Tutorial Assistant (Geographic Information 1. Emmanuel David Yongolo
Systems)
3. Tutorial Assistant (Agricultural Production 1. Asha Mohamed Kambangwa
and Farm Management Economics)
4. Tutorial Assistant (Veterinary Medicine), 1. Adebetha Alanus Mgaya
Lindi Campus
5. Tutorial Assistant (Geotechnical 1. Godlisten Gerald Malisa
6. Tutorial Assistant (Geomatics Engineering) 1. Suzan Sisty Mboya
7. Tutorial Assistant (Transportation 1. Enock Michael Chuwa
8. Tutorial Assistant (Architecture) 1. Daud Kiyumbi Balele
9. Tutorial Assistant (Quantity Surveying) 1. Beatrice Baraka Mwandilawa
10. Tutorial Assistant (Construction 1. Japhet Enos Nzagamba
Management)
11. Tutorial Assistant (Structural Engineering) 1. Daniel Reuben Samson
12. Tutorial Assistant (Computer Science) 1. Fadhili Japhet Kitwe
2. Khalfan Mshumba Khalfan
3. Masaga Kwileka Mlekwa
13. Tutorial Assistant (Film and Television) 1. Alphonce James Mhagama
14. Tutorial Assistant (Medical Physics) 1. Eliji Boniphace Sondogo
2. Justine Eustace Kyaruzi
15. Tutorial Assistant (Gender Studies) 1. Daud Saimon Wakachu
2. Rahel Euzebio Mvanda
16. Tutorial Assistant (Development Studies) 1. Anna-Glory Mandeye Ndossi
17. Tutorial Assistant (Information Technology) 1. Vincent Pius Bob
18. Tutorial Assistant (Taxation/Public Sector 1. John Daud Kilatu
Accounting and Auditing) 2. Esther Emily Mwaikambo
3. Godlove Zablon Essau
19. Tutorial Assistant (Artificial Intelligence in 1. Khadija Bhamiji Makongoro
Limnology) Mahanga
20. Tutorial Assistant(Aquaculture Genetics) 1. Aman Ahmed Hamisi
21. Tutorial Assistant (Emergency Medicine) 1. Robert Paul Ngwembe
22. Tutorial Assistant (Dental Prosthodontics) 1. Rose Dominick Fidel
2. Godluck Yohana Mnyambeo
23. Tutorial Assistant (Exercise Physiology) 1. Saut Juma Simbua
24. Tutorial Assistant (Sports Journalism) 1. Jonathan Hudson Luhwago
25. Tutorial Assistant (Creative Arts Education) 1. Goliati Edward Nkana
26. Tutorial Assistant (French Language 1. Daud Gervas Nkoswe
Education)
Imetolewa na;
Makamu Mkuu Wa Chuo,
Chuo Kikuu Cha Dar Es Salaam (Udsm)
Official Source
Verify names, dates, requirements and instructions in the official PDF published by Ajira Tanzania.
Opportunity status: Deadline not provided
About the author
Related posts
TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA
TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA
TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA
TANGAZO LA KUITWA KAZINI SHIRIKA LA RELI TANZANIA
TANGAZO LA KUITWA KAZINI CHUO KIKUU ARDHI
