TANGAZO LA KUITWA KAZINI CHUO KIKUU CHA AFYA NA SAYANSI SHIRIKISHI MUHIMBILI
tangazo la kuitwa kazini chuo kikuu cha afya na sayansi shirikishi muhimbili is an official placements published by Ajira Tanzania on 28 October 2026.
Announcement Details
Announcement type: Placements
Official reference: f30b1d93-4d91-4446-af2a-c0362587eb8a
Tangazo La Kuitwa Kazini Chuo Kikuu Cha Afya Na Sayansi Shirikishi Muhimbili
Chuo Kikuu Cha Afya Na Sayansi Shirikishi Muhimbili
Kumb. Na. CA.405/524/01/18 20/10/2026
Tangazo La Kuitwa Kazini
Makamu Mkuu wa Chuo, Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS)
anapenda kuwataarifu waombaji kazi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 24 Septemba,
2026 hadi tarehe 25 Septemba, 2026 kuwa majina ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni
kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili.
Aidha, Waombaji waliofaulu usaili watatakiwa kukamilisha taratibu za ajira kwa kufika Chuo
Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) tarehe 01 hadi 03 Novemba,
2026 kuanzia saa tatu kamili asubuhi wakiwa na nyaraka zilizoainishwa katika tangazo hili, ili
zihakikiwe kabla ya kupewa barua ya ajira. Kwa wale ambao majina yao hayapo katika
tangazo hili watambue kuwa hawakupata nafasi/hawakufaulu usaili, hivyo wasisite kuomba
kwa mara nyingine pindi nafasi za kazi zitakapotangazwa. Nyaraka za kuwasilisha ni kama
ifuatavyo:
(i) Vyeti halisi (Original Certificates) na nakala mbili za vyeti hivyo zilizothibitishwa na
Mamlaka za kisheria (certified by Advocate/Magistrate) vya masomo kuanzia kidato cha
nne na kuendelea;
(ii) Cheti cha kuzaliwa;
(iii) Nakala ya Kitambulisho cha Taifa (NIDA); na
(iv) Picha ndogo tatu za rangi (three colored passport size photographs)
1
Kada: Assistant Research Fellow – Pharmaceutical Microbiology
Mwajiri: Muhimbili University Of Health And Allied Sciences (Muhas)
Na Jina La Muombaji Anuani Ya Sasa
.1 Perpetua Jamali Goyayi
P.O. Box 16610, ARUSHA
Kada: Assistant Lecturer – Behavioural Science
Mwajiri: Muhimbili University Of Health And Allied Sciences (Muhas)
Na Jina La Muombaji Anuani Ya Sasa
1 P.O Box 1719, MWANZA
Nicholaus Kemba Francis
Kada: Assistant Lecturer (Parasitology And Medical Entomology)
Mwajiri: Muhimbili University Of Health And Allied Sciences (Muhas)
Na Jina La Muombaji Anuani Ya Sasa
1 P.O Box 774, IRINGA
Rahma Ally Rajabu
2 P.O Box 1462, MWANZA
Jackline Martine Lyimo
Kada: Assistant Librarian Trainee
Mwajiri: Muhimbili University Of Health And Allied Sciences (Muhas)
Na Jina La Muombaji Anuani Ya Sasa
1 P.O Box 307, ZANZIBAR MJINI
Richard Burchard Magharibi
Kamugisha
2 P.O Box 20950, DAR ES SALAAM
Elizabeth Godfrey John
3 P.O Box 19877, DAR ES SALAAM
Sarah Steven Mwakasungu
Imetolewa na,
Makamu Mkuu Wa Chuo,
Chuo Kikuu Cha Afya Na Sayansi Shirikishi Muhimbili.
(Muhas)
2
Official Source
Verify names, dates, requirements and instructions in the official PDF published by Ajira Tanzania.
Opportunity status: Deadline not provided
About the author
Related posts
TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA
TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA
TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA
TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA
TANGAZO LA KUITWA KAZINI CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM
