Skip to content
JOBS September 3, 2026

MWALIMU DARAJA LA III C – SOMO LA FASIHI YA KIINGEREZA (ENGLISH LITERATURE SUBJECT) at MDAs & LGAs

September 3, 20262 min read

Job Overview

Employer: MDAs & LGAs

Advert reference: Ajira #14164

Role: MWALIMU DARAJA LA III C – SOMO LA FASIHI YA KIINGEREZA (ENGLISH LITERATURE SUBJECT)

Open posts: 13 positions

Published: 03 September 2026

Deadline: 17 September 2026

Salary scale: TGTS-D

Duties and Responsibilities

  1. Kuandaa azimio la kazi, maandalio ya masomo, nukuu za masomo na Mpango wa Kazi wa majukumu mengine aliyokabidhiwa;
  2. Kutengeneza na Kufaraghua zana za kufundishia na kujifunzia;
  3. Kufundisha, kufanya Tathmini na kutunza kumbukumbu za Maendeleo ya Wanafunzi;
  4. Kusimamia na kufuatilia mahudhurio ya wanafunzi Shuleni na Darasani;
  5. Kusimamia malezi ya wanafunzi Kiakili, Kimwili, Kiroho na kutoa ushauri nasaha na unasihi;
  6. Kutoa ushauri wa Kitaalamu na kutaaluma kuhusu maendeleo ya Elimu;
  7. Kusimamia na utunzaji wa vifaa na mali za Shule; na
  8. Kazi nyingine atakazopangwa na Mkuu wa Shule kulingana na majukumu ya Shule.

Qualifications

Kuajiriwa mwenye Shahada ya Elimu (Bachelor with Education) au Shahada ya Ualimu (Bachelor of Education) yenye somo la kufundishia la Fasihi ya Kiingereza

AU

Shahada isiyo ya Ualimu/Elimu yenye somo la kufundishia la Fasihi ya Kiingereza pamoja na Stashahada ya Uzamili ya Elimu (Postgraduate Diploma in Education) kutoka Vyuo vya Elimu  ya Juu vinavyotambulika na Serikali.

How to Apply

Submit your application through the official Ajira Portal. Use the advert reference above if the portal opens at the vacancies list.

About the author