Skip to content
Call for Interviews November 13, 2026

TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI CHUO KIKUU CHA SAYANSI NA TEKNOLOJIA MBEYA (MUST)

November 13, 20267 min read
tangazo la kuitwa kwenye usaili chuo kikuu cha sayansi na teknolojia mbeya (must)

tangazo la kuitwa kwenye usaili chuo kikuu cha sayansi na teknolojia mbeya (must) is an official call for interviews published by Ajira Tanzania on 12 November 2026.

Announcement Details

Announcement type: Call for Interviews

Official reference: 679169b4-1577-4d09-9805-6c22b4f84e09

Tangazo La Kuitwa Kwenye Usaili Chuo Kikuu Cha Sayansi Na Teknolojia Mbeya (Must)

Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania

Wizara Ya Elimu, Sayansi Na Teknolojia

Chuo Kikuu Cha Sayansi Na Teknolojia Mbeya (Must)

Kumb. Na. CCA.303/490/01/101 12/11/2026

Tangazo La Kuitwa Kwenye Usaili

Makamu Mkuu wa Chuo, Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST) anapenda kuwataarifu Waombaji

Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 25/11/2026 hadi 26/11/2026 hatimaye

kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo. Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa

kuzingatia maelekezo yafuatayo:-

1. Usaili utafanyika kuanzia tarehe kama ilivyooneshwa kwenye tangazo hili muda na sehemu ambapo usaili

utafanyika umeainishwa kwa kila Kada.

2. Kila msailiwa anatakiwa kufika kwenye eneo la usaili akiwa amevaa Barakoa (Mask).

3. Kila Msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi.

Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Mkazi, Kitambulisho cha Mpiga kura,

Kitambulisho cha kazi, Kitambulisho cha Uraia, Hati ya kusafiria, Leseni ya Udereva au barua ya

utambulisho kutoka Serikali ya Mtaa/Kijiji anachotoka.

4. Wasailiwa wanatakiwa kufika na VYETI VYAO HALISI, kuanzia cheti cha kuzaliwa, kidato cha IV, VI, Astashahada,

Stashahada, Stashahada ya Juu, Shahada na kuendelea kutegemeana na sifa za nafasi husika.

5. Wasailiwa watakaowasilisha ‘Testimonials, Provisional Results, Statement of results’, hati za matokeo za kidato

cha IV na VI (‘form IV and form VI results slips’) HAVITAKUBALIWA NA HAWATARUHUSIWA KUENDELEA NA

Usaili.

6. Kwa kada ambazo wanatakiwa kusajiliwa na Bodi za Kitaaluma wanapaswa kuja na vyeti vyao Halisi vya Usajili

pamoja na Leseni za kufanyia kazi.

7. Kila msailiwa atajigharamia kwa Chakula, Usafiri na Malazi. Aidha kila msailiwa anapaswa kuhudhuria usaili akiwa

na mavazi nadhifu na yenye staha kulingana na Waraka wa mavazi.

8. Kwa wasailiwa waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe Vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na Mamlaka

husika (kama TCU, NACTVET au NECTA). Wasailiwa wa kada zinazohitaji ‘GPA’ waliosoma nje ya Tanzania

wawasilishe cheti cha ukokotozi wa GPA kutoka TCU.

9. Wasailiwa ambao hawajaona majina yao kwenye tangazo hili wanapaswa kuingia kwenye akaunti zao za ‘Ajira

Portal’ na kuona sababu za kutokuitwa kwao ili wasikose fursa wakati mwingine.

10. Wasailiwa wote walioitwa kwenye usaili wahakikishe wanaingia kwenye akaunti zao na kunakili namba ya usaili.

Aidha wasailiwa watakaofanya usaili wa mchujo kwa njia ya Mtandao wanapaswa kukumbuka barua pepe (email

address) na nywila (password) zao wanazotumia katika mfumo wa Ajira Portal.

11. Wasailiwa ambao majina yao yanatofautiana katika nyaraka zao wanapaswa kuwasilisha Hati ya Kiapo cha

Kubadili Jina (Deed Poll) iliyosajiliwa na Wizara ya Ardhi.

12. Waombaji wote wa kazi wanakumbushwa kuwa ni marufuku kutoa au kupokea rushwa kwa lengo la kupata ajira au

kupangiwa kituo cha kazi. Mchakato wa ajira unazingatia misingi ya haki, usawa, na uwazi, kwa kuzingatia sifa

stahiki zilizoainishwa katika tangazo la kazi husika na muundo wa utumishi wa idara inayohusika.

Ratiba Ya Usaili Mchujo

Mwajiri Kada Tarehe Ya Usaili Mahali

Chuo Kikuu cha Sayansi na TUTORIAL ASSISTANT 2026-11-25 07:30:00 MUST – NYERERE HALL

Teknolojia Mbeya (MUST) (INCLUSIVE EDUCATION)

Chuo Kikuu cha Sayansi na TUTORIAL ASSISTANT 2026-11-25 07:30:00 MUST – NYERERE HALL

Teknolojia Mbeya (MUST) (HEALTH INFORMATION

Science)

Chuo Kikuu cha Sayansi na TUTORIAL ASSISTANT 2026-11-25 07:30:00 MUST – NYERERE HALL

Teknolojia Mbeya (MUST) (AQUATIC SCIENCE AND

Aquaculture

Technology)

Ratiba Ya Usaili Mahojiano

Mwajiri Kada Tarehe Ya Usaili Mahali

Chuo Kikuu cha Sayansi na TUTORIAL ASSISTANT 2026-11-26 07:00:00 MUST – MAIN CAMPUS

Teknolojia Mbeya (MUST) (AQUATIC SCIENCE AND

Aquaculture

Technology)

Chuo Kikuu cha Sayansi na TUTORIAL ASSISTANT 2026-11-26 07:30:00 MUST – MAIN CAMPUS

Teknolojia Mbeya (MUST) (INCLUSIVE EDUCATION)

Chuo Kikuu cha Sayansi na TUTORIAL ASSISTANT 2026-11-26 07:30:00 MUST – MAIN CAMPUS

Teknolojia Mbeya (MUST) (HEALTH INFORMATION

Science)

1

Kada: Tutorial Assistant (Inclusive Education)

Tarehe Ya Usaili Wa Mchujo: 2026-11-25 07:30:00

Mahali: Must – Nyerere Hall

Tarehe Ya Usaili Wa Mahojiano: 2026-11-26 07:30:00

Mahali: Must – Main Campus

Na Jina La Mwombaji Anuani Na Jina La Mwombaji Anuani

. .

1 SALIMU MOHAMEDI P.O Box 18, TANGA 2 MARY MARTINE P.O Box 54, MARA

Lukwembe Bambaga

3 JONAS BUKENE HENRY P.O Box 1288, 4 MALOSHA JOSEPH P.O Box 0, DAR ES

Kishapu, Shinyanga RUGASHOBORORA SALAAM

5 ABDULAZIZ SAIDI P.O Box 1, GEITA 6 IRENE VICTOR KIMARO P.O Box 55,

Nyoni Arusha

7 MAHARAGE MAHARAGE P.O Box 157, 8 ANOLD IVO MILINGA P.O Box 12,

Paul Simiyu Singida

9 ELIZABETH ELIPOKEA P.O Box 1064, 10 JAPHET KAKULU P.O Box 411,

Pallangyo Mara Julius Mbeya

11 BEZAEL HABAKUKI P.O Box 96, 12 RUKIA MRISHO P.O Box 20, TANGA

Ngilangwa Njombe Shabani

13 ARAFA JUMA NASSIR P.O Box 11, DAR 14 ANJERIKA TEOBADI P.O Box 317,

Es Salaam Kemilembe Kagera

15 DENIS PETER ONESMO P.O Box 157, 16 FATUMA SELEMANI P.O Box 43,

Simiyu Hamidu Arusha

17 ROZA LEONARD P.O Box 1249, 18 SUZANA FRANCIS P.O Box 46343,

KAPELA Dodoma, Dodoma NYASUMA DAR ES SALAAM

19 BERTHA KADASO P.O Box 1249, 20 NOVATUS ASOFALES P.O Box 168, MARA

Kasalali Dodoma Mjalifu

21 SOPHIA KAYASEN P.O Box 66, 22 GETRUDE PHILIP MSAKI P.O Box 2495, Iringa ,

SONGA SONGWE Iringa

23 CHRISTINA ISDORI P.O Box 54, 24 SHANGWE ANGASYEGE P.O Box 1287,

Mlyuka Njombe Mwajungwa Dodoma

2

Kada: Tutorial Assistant (Health Information Science)

Tarehe Ya Usaili Wa Mchujo: 2026-11-25 07:30:00

Mahali: Must – Nyerere Hall

Tarehe Ya Usaili Wa Mahojiano: 2026-11-26 07:30:00

Mahali: Must – Main Campus

Na Jina La Mwombaji Anuani Na Jina La Mwombaji Anuani

. .

1 RAYMOND PESA P.O Box 119, 2 YOHANA SINGU MASALI P.O Box 2739,

Ernest Morogoro Mwanza

3 FEIDHA IBRAHIM P.O Box 0, 4 ELIA DAUDI KAZIULAYA P.O Box 178,

Kashoza Dodoma Tanga

5 ALLY DOTTO IYUBI P.O Box 10, 6 MILLU PAULO MALALA P.O Box 12,

Bukombe, Geita KILIMANJARO

7 NOREEN JUSTIN P.O Box 6742, 8 RAY AIDAN TAMATI P.O Box 365,

Bantulaki Morogoro Kigoma

9 RAJABU MOHAMEDI P.O Box 1162, 10 LUTUFU TAMIMU P.O Box 45232,

SIMBA Arusha, Arusha MAMBOYA DAR ES SALAAM

11 SALIM HASSAN P.O Box 1370, 12 ADELLA DUNCAN P.O Box 0, ARUSHA

Mlimakala Mwanza Oyuke

13 YOHANA SETH P.O Box 148, 14 ANITHA AMOS CREFAS P.O Box 686,

Makwego Mbeya Katavi

15 DAVID NURU KIKANGO P.O Box 910, 16 ANOLA GODFREY P.O Box 10,

DODOMA MATIMBWI Dodoma, Dodoma

17 KELVIN ALEX MACHABA P.O Box 490, 18 ENOCK SIMON P.O Box 384, GEITA

Dodoma Manyilizu

19 HARUNI ISAYA P.O Box 2932, 20 MWAZANI SELEMANI P.O Box 20950,

MWAKANYOMO MBEYA ALLY Ilala, Dar es Salaam

21 SHAKILA BASEYA P.O Box 384, GEITA

Rajabu

3

Kada: Tutorial Assistant (Aquatic Science And Aquaculture Technology)

Tarehe Ya Usaili Wa Mchujo: 2026-11-25 07:30:00

Mahali: Must – Nyerere Hall

Tarehe Ya Usaili Wa Mahojiano: 2026-11-26 07:00:00

Mahali: Must – Main Campus

Na Jina La Mwombaji Anuani Na Jina La Mwombaji Anuani

. .

1 LIMBU KIJA MISINZO P.O Box 3004, 2 RASHIDI BAKARI P.O Box 3000,

Morogoro, Morogoro LIPOYOLA Morogoro, Morogoro

3 REVIVAL ATOSHA P.O Box 10984, 4 HILDA HANCE P.O Box 291,

Herman Dar Es Salaam Mwambagi Mbeya

5 ABDUL-KADIR MAULID P.O Box 0, 6 JASMINE KARIM P.O Box 35134,

Rajab Zanzibar Kati/Ku Semboja Dar Es Salaam

Sini

7 THOBIAS NYANGASI P.O Box 1774, 8 OMBENI ISAYA SIMON P.O Box 35091,

Ibrahimu Dodoma Dar Es Salaam

9 RICHARD ALEX NG'UTO P.O Box 46343, 10 NEEMA DAUD IBRAHIM P.O Box 157,

Dar Es Salaam Simiyu

11 SELEMANI THABITI P.O Box 1880, 12 YESE JOSEPH GASPARI P.O Box 42,

Ally Morogoro Singida

13 JUMA BAKAR ABDALLA P.O Box 0, 14 NYAMTONDO SALEHEW P.O Box 3000,

Zanzibar Mjini A Mgonya Morogoro

Magharibi

15 LOVENESS AJUNA 16 NEEMA ERASTO P.O Box 1070, LINDI

Respicius Mrope

17 ZAKIA ABDALLAH P.O Box 336, 18 JACKSON MASHIKU P.O Box 3000,

Kilongoji Mbeya Shang'Ondi Morogoro

19 HOSEA ISAYA SONGO P.O Box 60091, 20 MECKTRIDA CHARLES Dar es Salaam

Dar Es Salaam Pima

21 TAMIMU NURU P.O Box 61, TANGA 22 ALICE KAIJAGE P.O Box 735,

Abdallah William Mwanza

23 TUOMBE ANYISILE P.O Box 2, Busokelo, 24 EMANOELA MASSAWE P.O Box 1213,

MWAKIBASI Mbeya FELIX MWANZA

25 DONASIO NTAHONDI P.O Box 199, 26 RIZIKI CHARLES P.O Box 41,

Bhedetse Manyara Kinyunyu Mwanza

27 ALLY MAKAME P.O Box 735, 28 GETRUDA OSCAR P.O Box 256,

Muhajiri Mwanza Raymond Tabora

29 ZANURA JUMANNE P.O Box 1621, 30 JUDITH MICHAEL P.O Box 3000,

SALIMU Singida, Singida KWEKA MOROGORO

31 SALAMA AMIRI P.O Box 12117, 32 JASTINE SAMWELI P.O Box 36001,

Mohamed Dar Es Salaam Kasoboye Dar Es Salaam

33 ZAWIA HARUNA MBIAJI P.O Box 36009, 34 EDNA MARTIN GAO P.O Box 3000,

DAR ES SALAAM Morogoro, Morogoro

Limetolewa Na;

4

Makamu Mkuu Wa Chuo

Chuo Kikuu Cha Sayansi Na Teknolojia Mbeya (Must)

5

Official Source

Verify names, dates, requirements and instructions in the official PDF published by Ajira Tanzania.

Opportunity status: Deadline not provided

About the author