Skip to content
Call for Interviews November 14, 2026

TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA LIWALE

November 14, 20264 min read
tangazo la kuitwa kwenye usaili halmashauri ya wilaya ya liwale

tangazo la kuitwa kwenye usaili halmashauri ya wilaya ya liwale is an official call for interviews published by Ajira Tanzania on 14 November 2026.

Announcement Details

Announcement type: Call for Interviews

Official reference: a86bead5-fe49-4975-8358-b0e21b2bcc14

Tangazo La Kuitwa Kwenye Usaili Halmashauri Ya Wilaya Ya Liwale

Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania

Tawala Za Mikoa Na Serikali Za Mitaa

Halmashauri Ya Wilaya Ya Liwale

Kumb.Na.HA.263/300/01/91 14/11/2026

Tangazo La Kuitwa Kwenye Usaili

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Liwale anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa

usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 16/11/2026 hadi 19/11/2026 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi

waombaji kazi watakaofaulu usaili huo. Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo

yafuatayo:-

1. Usaili utafanyika kuanzia tarehe kama ilivyooneshwa kwenye tangazo hili muda na sehemu ambapo usaili

utafanyika umeainishwa kwa kila Kada.

2. Kila msailiwa anatakiwa kufika kwenye eneo la usaili akiwa amevaa Barakoa (Mask).

3. Kila Msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi.

Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Mkazi, Kitambulisho cha Mpiga kura,

Kitambulisho cha kazi, Kitambulisho cha Uraia, Hati ya kusafiria, Leseni ya Udereva au barua ya

utambulisho kutoka Serikali ya Mtaa/Kijiji anachotoka.

4. Wasailiwa wanatakiwa kufika na VYETI VYAO HALISI, kuanzia cheti cha kuzaliwa, kidato cha IV, VI, Astashahada,

Stashahada, Stashahada ya Juu, Shahada na kuendelea kutegemeana na sifa za nafasi husika.

5. Wasailiwa watakaowasilisha ‘Testimonials, Provisional Results, Statement of results’, hati za matokeo za kidato

cha IV na VI (‘form IV and form VI results slips’) HAVITAKUBALIWA NA HAWATARUHUSIWA KUENDELEA NA

Usaili.

6. Kwa kada ambazo wanatakiwa kusajiliwa na Bodi za Kitaaluma wanapaswa kuja na vyeti vyao Halisi vya Usajili

pamoja na Leseni za kufanyia kazi.

7. Kila msailiwa atajigharamia kwa Chakula, Usafiri na Malazi. Aidha kila msailiwa anapaswa kuhudhuria usaili akiwa

na mavazi nadhifu na yenye staha kulingana na Waraka wa mavazi.

8. Kwa wasailiwa waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe Vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na Mamlaka

husika (kama TCU, NACTVET au NECTA). Wasailiwa wa kada zinazohitaji ‘GPA’ waliosoma nje ya Tanzania

wawasilishe cheti cha ukokotozi wa GPA kutoka TCU.

9. Wasailiwa ambao hawajaona majina yao kwenye tangazo hili wanapaswa kuingia kwenye akaunti zao za ‘Ajira

Portal’ na kuona sababu za kutokuitwa kwao ili wasikose fursa wakati mwingine.

10. Wasailiwa wote walioitwa kwenye usaili wahakikishe wanaingia kwenye akaunti zao na kunakili namba ya usaili.

Aidha wasailiwa watakaofanya usaili wa mchujo kwa njia ya Mtandao wanapaswa kukumbuka barua pepe (email

address) na nywila (password) zao wanazotumia katika mfumo wa Ajira Portal.

11. Wasailiwa ambao majina yao yanatofautiana katika nyaraka zao wanapaswa kuwasilisha Hati ya Kiapo cha

Kubadili Jina (Deed Poll) iliyosajiliwa na Wizara ya Ardhi.

12. Waombaji wote wa kazi wanakumbushwa kuwa ni marufuku kutoa au kupokea rushwa kwa lengo la kupata ajira au

kupangiwa kituo cha kazi. Mchakato wa ajira unazingatia misingi ya haki, usawa, na uwazi, kwa kuzingatia sifa

stahiki zilizoainishwa katika tangazo la kazi husika na muundo wa utumishi wa idara inayohusika.

Ratiba Ya Usaili Alama Za Barabarani

Mwajiri Kada Tarehe Ya Usaili Mahali

Halmashauri ya Wilaya ya DEREVA DARAJA II 2026-11-16 07:00:00 SHULE YA SEKONDARI YA

Liwale (DRIVER II) KUTWA LIWALE (LIWALE

Day Secondary

School)

Ratiba Ya Usaili Vitendo

Mwajiri Kada Tarehe Ya Usaili Mahali

Halmashauri ya Wilaya ya DEREVA DARAJA II 2026-11-16 10:00:00 SHULE YA SEKONDARI YA

Liwale (DRIVER II) KUTWA LIWALE (LIWALE

Day Secondary

School)

Ratiba Ya Usaili Mahojiano

Mwajiri Kada Tarehe Ya Usaili Mahali

Halmashauri ya Wilaya ya DEREVA DARAJA II 2026-11-17 07:00:00 SHULE YA SEKONDARI YA

Liwale (DRIVER II) KUTWA LIWALE (LIWALE

Day Secondary

School)

Halmashauri ya Wilaya ya MSAIDIZI WA KUMBUKUMB 2026-11-19 07:00:00 SHULE YA SEKONDARI YA

Liwale U DARAJA LA II (RECORDS KUTWA LIWALE (LIWALE

Management Assistant Day Secondary

Ii) School)

Ratiba Ya Usaili Mchujo

Mwajiri Kada Tarehe Ya Usaili Mahali

Halmashauri ya Wilaya ya MSAIDIZI WA KUMBUKUMB 2026-11-18 07:00:00 SHULE YA SEKONDARI YA

Liwale U DARAJA LA II (RECORDS KUTWA LIWALE (LIWALE

Management Assistant Day Secondary

Ii) School)

1

Kada: Dereva Daraja Ii (Driver Ii)

Tarehe Ya Usaili Wa Alama Za Barabarani: 2026-11-16 07:00:00

Mahali: Shule Ya Sekondari Ya Kutwa Liwale (Liwale Day Secondary

School)

Tarehe Ya Usaili Wa Vitendo: 2026-11-16 10:00:00

Mahali: Shule Ya Sekondari Ya Kutwa Liwale (Liwale Day Secondary

School)

Tarehe Ya Usaili Wa Mahojiano: 2026-11-17 07:00:00

Mahali: Shule Ya Sekondari Ya Kutwa Liwale (Liwale Day Secondary

School)

Na Jina La Mwombaji Anuani Na Jina La Mwombaji Anuani

. .

1 SELEMANI ALLY P.O Box 1070, LINDI

Mnumba

2

Kada: Msaidizi Wa Kumbukumbu Daraja La Ii (Records Management Assistant

Ii)

Tarehe Ya Usaili Wa Mchujo: 2026-11-18 07:00:00

Mahali: Shule Ya Sekondari Ya Kutwa Liwale (Liwale Day Secondary

School)

Tarehe Ya Usaili Wa Mahojiano: 2026-11-19 07:00:00

Mahali: Shule Ya Sekondari Ya Kutwa Liwale (Liwale Day Secondary

School)

Na Jina La Mwombaji Anuani Na Jina La Mwombaji Anuani

. .

1 JUMA AMRI MAJAWA P.O Box 1070, LINDI 2 ELIZABETH DAMIAN P.O Box 291, LINDI

Beatusi

3 FAIDHA YASINI P.O Box 3027, 4 VEDASTUS JUMBE P.O Box 166,

Ndumba Morogoro Majula Morogoro

Limetolewa Na;

Mkurugenzi Mtendaji

Halmashauri Ya Wilaya Ya Liwale

3

Official Source

Verify names, dates, requirements and instructions in the official PDF published by Ajira Tanzania.

Opportunity status: Deadline not provided

About the author