Job Overview
Employer: MDAs & LGAs
Advert reference: Ajira #13487
Role: MTEKNOLOJIA MSAIDIZI – DAWA (ASSISTANT TECHNOLOGIST -PHARMACY II)
Open posts: 10 positions
Published: 13 June 2026
Deadline: 26 June 2026
Salary scale: TGHS A.
Duties and Responsibilities
- Kuandaa mahitaji na matumizi ya dawa na vifaa tiba;
- Kuagiza, kuhifadhi na kugawa dawa na vifaa tiba katika eneo lake la kazi;
- Kuandaa taarifa ya matumizi ya dawa na vifaa tiba;
- Kutunza kumbukumbu za dawa na vifaa tiba;
- Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake.
Qualifications
Kuajiriwa wahitimu wenye cheti cha Astashahada katika fani za Dawa kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali naambao wamesajiliwa na Baraza la Famasi.
How to Apply
Submit your application through the official Ajira Portal. Use the advert reference above if the portal opens at the vacancies list.
