Job Overview
Employer: MDAs & LGAs
Advert reference: Ajira #13493
Role: MTEKNOLOJIA WA RADIOGRAFA DARAJA II – RADIOLOJIA (RADIOGRAPHYTECHNOLOGIST II – RADIOLOGY)
Open posts: 10 positions
Published: 13 June 2026
Deadline: 26 June 2026
Salary scale: TGTS B
Duties and Responsibilities
- Kuwapima wagonjwa wanaolekezwa kwenye eneo lake la kazi.
- Kutunza mitambo na vifaa vya Radiolojia katika eneo lake la kazi.
- Kukagua picha za X-Ray zilizopimwa kwa ubora na kutosheleza (diagnostic quality).
- Kutunza picha za wagonjwa hadi majibu yanapowafikia madaktari waliowatuma wagonjwa.
- Kusimamia watumishi walio chini yake.
- Kutoa Ushauri kuhusu masuala ya na kazi za Radiolojia na Mionzi katika eneo lake la kazi.
- Kuandaa vifaa vya tiba/uchunguzi na kusimamia utakasaji vifaa katika eneo lake la kazi (sterilization).
- Kutoa mafunzo ya awali kwa watumishi wanaopangiwa kazi katika eneo lake la kazi.
- Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake.
Qualifications
Kuajiriwa wenye Stashahada katika fani ya Uteknolojia wa Radiolojia kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali, ambao wamesajiliwa na Baraza la Waatalum wa Mionzi Tanzania.
How to Apply
Submit your application through the official Ajira Portal. Use the advert reference above if the portal opens at the vacancies list.
