Job Overview
Employer: MDAs & LGAs
Advert reference: Ajira #13496
Role: MKAGUZI WA NDANI DARAJA II (INTERNAL AUDITOR GRADE II)
Open posts: 15 positions
Published: 13 June 2026
Deadline: 26 June 2026
Salary scale: TGS.E
Duties and Responsibilities
- kuandaa program ya ukaguzi wa ndani
- kufanya uchambuzi katika hatua za awali za ukaguzi
- kufanya tathimini za udhibiti wa mifumo ya ndani katika hatua za awali (internal controls), uthibiti wa vihatarishi (risk management) na usimamizi wa mifumo ya uendeshaji (corporate governance)
- kuandaa mpango wa ukaguzi wa ndani wa kawaida au maalum
- kufanya ukaguzi wa kawaida, maalum, kiufundi na uchunguzi (Normal, Special Audit, Technical audit and Investigations)
- kufanya uhakiki wa hoja za ukaguzi zilizopokelewa
- vii.Kufuatilia utekelezaji wa mapendekezo ya ukaguzi wa ndani
- Kutoa ushauri wa kuimarisha utendaji wa taasisi
- Kufanya kazi nyingine za fani yake atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi.
Qualifications
Kuajiriwa wahitimu mwenye shahada ya biashara au Sanaa yenye muelekeo wa Uhasibu/Stashahada ya Juu ya Uhasibu/Ukaguzi hesabu wenye cheti cha taaluma ya uhasibu CPA(T) au sifa nyingine zinazotambulika na NBAA.
How to Apply
Submit your application through the official Ajira Portal. Use the advert reference above if the portal opens at the vacancies list.
