Skip to content
JOBS OPPORTUNITIES May 20, 2026

DAKTARI WA MIFUGO DARAJA LA II (VETERNARY OFFICER II) at MDAs & LGAs

May 20, 20261 min read

Job Overview

Employer: MDAs & LGAs

Advert reference: Ajira #13312

Role: DAKTARI WA MIFUGO DARAJA LA II (VETERNARY OFFICER II)

Open posts: 1 position

Published: 22 March 2026

Deadline: 04 April 2026

Salary scale: TGS F

Duties and Responsibilities

  1. Kutoa huduma za afya ya mifugo.
  2. Kufanya uchunguzi wa magonjwa ya mifugo katika eneo lake la kazi kwa mujibu wa sheria.
  3. Kutayarisha na kusimamia mipango ya kuzuia, kudhibiti na kutokomeza magonjwa ya mifugo katika eneo lake.
  4. Kusimamia haki za wanyama.
  5. Kushiriki katika uchunguzi wa magonjwa ya wanyama pori katika eneo lake.
  6. Kusimamia na kuratibu uzingatiaji wa Kanuni na Sheria za Magonjwa, ukaguzi wa mifugo na mazao yake na pembejeo za mifugo.
  7. Kuratibu na kusimamia shughuli za usafi wa machinjio na ukaguzi wa nyama katika eneo lake la kazi.
  8. Kuandaa taarifa ya afya ya mifugo katika eneo lake la kazi na
  9. Kufanya kazi nyingine zozote za fani yake atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi.

 

Qualifications

Kuajiriwa Wahitimu wenye Shahada ya kwanza ya Tiba ya Wanyama (Veterinary Medicine) kutoka Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA) au kutoka Chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali ambao wamesajiliwa na Baraza la Veterinari Tanzania.

How to Apply

Submit your application through the official Ajira Portal. Use the advert reference above if the portal opens at the vacancies list.

About the author