Skip to content
JOBS OPPORTUNITIES June 13, 2026

MHASIBU DARAJA LA II (ACCOUNTANT GRADE II) at MDAs & LGAs

June 13, 20261 min read

Job Overview

Employer: MDAs & LGAs

Advert reference: Ajira #13517

Role: MHASIBU DARAJA LA II (ACCOUNTANT GRADE II)

Open posts: 10 positions

Published: 13 June 2026

Deadline: 26 June 2026

Salary scale: TGS E

Duties and Responsibilities

  1. Kuandika taarifa ya mapato na matumizi;
  2. Kuandika taarifa za maduhuli;
  3. Kupokea maduhuli ya serikali na kupeleka Benki kwa wakati;
  4. Kufanya usuluhisho wa hesabu za Benki na nyingine zinazohusiana na masuala ya fedha;
  5. Kukagua hati za malipo; na
  6. Kufanya kazi nyingine za fani yake atakazopangiwa na Mkuu wake wa kazi.

Qualifications

Kuajiriwa wahitimu wa Kidato cha Sita wenye shahada ya Uhasibu au Biashara waliojiimarisha kwenye fani ya Uhasibu au Stashahada ya juu ya Uhasibu kutoka Taasisi inayotambuliwa na Serikali pamoja na cheti cha Taaaluma ya Uhasibu CPA(T) au sifa inayolingananayo inayotambuliwa na NBAA.

How to Apply

Submit your application through the official Ajira Portal. Use the advert reference above if the portal opens at the vacancies list.

About the author