MHUDUMU WA BOTI (DECKHAND AUXILLIARY) at Halmashauri ya Wilaya ya Wanging’ombe
Job Overview
Employer: Halmashauri ya Wilaya ya Wanging'ombe
Advert reference: Ajira #14191
Role: MHUDUMU WA BOTI (DECKHAND AUXILLIARY)
Open posts: 1 position
Published: 08 September 2026
Deadline: 20 September 2026
Salary scale: TGOS A
Duties and Responsibilities
- Kuangalia usalama wa boti za Uvuvi;
- Kufanya usafi wa boti za Uvuvi;
- Kutunza usafi wa zana za uvuvi na vyombo vya kuhifadhia samaki;
- Kufanya matengenezo madogo madogo ya zana za uvuvi; na
- Kufanya kazi nyingine za fani yake atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi.
Qualifications
Kuajiriwa wahitimu wa Kidato cha IV na wenye Cheti cha mafunzo ya Teknolojia ya Uvuvi kutoka Vyuo vya Wakala wa Elimu na Mafunzo ya Uvuvi (Fisheries Education and Training Agency – FETA) au wenye cheti cha mafunzo ya Uhudumu wa Meli kutoka Chuo cha Ubaharia cha Dar es Salaam – DMI au sifa inayolingana na hiyo kutoka vyuo vingine vinavyotambuliwa na Serikali.
How to Apply
Submit your application through the official Ajira Portal. Use the advert reference above if the portal opens at the vacancies list.