Skip to content
JOBS July 18, 2026

MKUFUNZI MSAIDIZI MAENDELEO YA JAMII II – UANDAAJI WA CHAKULA (FOOD PRODUCTION) at Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia

July 18, 20261 min read

Job Overview

Employer: Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia

Advert reference: Ajira #13750

Role: MKUFUNZI MSAIDIZI MAENDELEO YA JAMII II – UANDAAJI WA CHAKULA (FOOD PRODUCTION)

Open posts: 2 positions

Published: 18 July 2026

Deadline: 31 July 2026

Salary scale: TGS C

Duties and Responsibilities

  1. Kufundisha masomo ya fani mbalimbali zinazofundishwa katika vyuo;
  2. Kutayarisha mpango wa kazi wa mafunzo;
  3. Kupima maendeleo ya wanachuo katika nadharia na vitendo;
  4. Kutunza vifaa vya kufundishia; v. Kufanya na kutoa taarifa za utafiti;
  5. Kutoa ushauri wa kitaalam; vii. Kuandaa kanuni na taratibu za kusimamia mitihani chuoni;
  6. Kutunga na kusahihisha mitihani;
  7. Kufanya utafiti utakaosaidia kutoa majibu kwa changamoto mbalimbali;

Qualifications

Kuajiriwa wahitimu wa Kidato cha Nne/Sita waliofuzu mafunzo ya Stashahada ya ‘’Food Production’’ kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali.

How to Apply

Submit your application through the official Ajira Portal. Use the advert reference above if the portal opens at the vacancies list.

About the author