Skip to content
JOBS OPPORTUNITIES May 20, 2026

MKUFUNZI MSAIDIZI MAENDELEO YA JAMII II – UCHOMELEAJI NA UTENGENEZAJI WA VYUMA (WELDING AND METAL FABRICATION) at Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia

May 20, 20261 min read

Job Overview

Employer: Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia

Advert reference: Ajira #13412

Role: MKUFUNZI MSAIDIZI MAENDELEO YA JAMII II – UCHOMELEAJI NA UTENGENEZAJI WA VYUMA (WELDING AND METAL FABRICATION)

Open posts: 13 positions

Published: 22 March 2026

Deadline: 04 April 2026

Salary scale: TGS C

Duties and Responsibilities

  1. Kufundisha masomo ya fani mbalimbali zinazofundishwa katika vyuo;
  2. Kutayarisha mpango wa kazi wa mafunzo;
  3. Kupima maendeleo ya wanachuo katika nadharia na vitendo; iv. Kutunza vifaa vya kufundishia;
  4. Kufanya na kutoa taarifa za utafiti;
  5. Kutoa ushauri wa kitaalam;
  6. Kuandaa kanuni na taratibu za kusimamia mitihani chuoni;
  7. Kutunga na kusahihisha mitihani; ix. Kufanya utafiti utakaosaidia kutoa majibu kwa changamoto mbalimbali zinazokwamisha maendeleo katika jamii; na
  8. Kutoa ushauri juu ya kuboresha taaluma chuoni na kuendeleza mafunzo nje ya chuo.

Qualifications

Kuajiriwa wahitimu wa Kidato cha Nne/Sita waliofuzu mafunzo ya Stashahada ya Uchomeleaji na Utengenezaji wa Vyuma (Welding and Metal Fabrication) kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali.

How to Apply

Submit your application through the official Ajira Portal. Use the advert reference above if the portal opens at the vacancies list.

About the author