MKUFUNZI MSAIDIZI MAENDELEO YA JAMII II – USHONAJI NA UBUNIFU WA MITINDO (TAILORING AND FASHION DESIGN) at Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia

    Job Overview

    Employer: Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia

    Advert reference: Ajira #13411

    Role: MKUFUNZI MSAIDIZI MAENDELEO YA JAMII II – USHONAJI NA UBUNIFU WA MITINDO (TAILORING AND FASHION DESIGN)

    Open posts: 10 positions

    Published: 22 March 2026

    Deadline: 04 April 2026

    Salary scale: TGS C

    Duties and Responsibilities

    1. Kufundisha masomo ya fani mbalimbali zinazofundishwa katika vyuo;
    2. Kutayarisha mpango wa kazi wa mafunzo;
    3. Kupima maendeleo ya wanachuo katika nadharia na vitendo;
    4. Kutunza vifaa vya kufundishia; v. Kufanya na kutoa taarifa za utafiti;
    5. Kutoa ushauri wa kitaalam; vii. Kuandaa kanuni na taratibu za kusimamia mitihani chuoni;
    6. Kutunga na kusahihisha mitihani;
    7. Kufanya utafiti utakaosaidia kutoa majibu kwa changamoto mbalimbali zinazokwamisha maendeleo katika jamii; na
    8. Kutoa ushauri juu ya kuboresha taaluma chuoni na kuendeleza mafunzo nje ya chuo.

    Qualifications

    Kuajiriwa wahitimu wa Kidato cha Nne/Sita waliofuzu mafunzo ya Stashahada ya ushonaji na ubunifu mitindo (Tailoring and Fashion Design) kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali

    How to Apply

    Submit your application through the official Ajira Portal. Use the advert reference above if the portal opens at the vacancies list.