Skip to content
JOBS OPPORTUNITIES May 31, 2026

MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA LA II (RECORDS MANAGEMENT ASSISTANT II) at Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda

May 31, 20261 min read

Job Overview

Employer: Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda

Advert reference: Ajira #13615

Role: MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA LA II (RECORDS MANAGEMENT ASSISTANT II)

Open posts: 5 positions

Published: 29 May 2026

Deadline: 11 June 2026

Salary scale: TGS C

Duties and Responsibilities

  1. Kuorodhesha barua zinazoingia Masjala kwenye regista (incoming correspondence register)
  2. Kuorodhesha barua zinazotoka nje ya taasisi (outgoing correspondence register)
  3. Kusambaza majalada kwa Watendaji (action officers)
  4. Kupokea majalada  kwa Watendaji (action officers)
  5. Kupokea majalada yanayorudi masjala toka kwa Watendaji
  6. Kurudisha majalada kwenye shabaka/kabati la majalada(racks/filling cabinets) au mahali pengine yanapohifadhiwa
  7. Kufuatilia mzunguko wa majalada ndani ya Taasisi (file tracking)

Qualifications

Kuajiriwa mwenye amehitimu Elimu ya Kidato cha Nne (IV) au Kidato cha Sita (VI) aliyehitimu Stashahada (NTA level 6) katika fani ya Utunzaji Kumbukumbu kutoka Vyuo vinavyotambuliwa na Serikali, mwenye ujuzi wa Kompyuta.

 

How to Apply

Submit your application through the official Ajira Portal. Use the advert reference above if the portal opens at the vacancies list.

About the author