MTEKNOLOJIA MSAIDIZI DARAJA LA II – MAABARA (ASSISTANT HEALTH LABORATORY TECHNOLOGIST II) at MDAs & LGAs

    Job Overview

    Employer: MDAs & LGAs

    Advert reference: Ajira #13486

    Role: MTEKNOLOJIA MSAIDIZI DARAJA LA II – MAABARA (ASSISTANT HEALTH LABORATORY TECHNOLOGIST II)

    Open posts: 10 positions

    Published: 13 June 2026

    Deadline: 26 June 2026

    Salary scale: TGHS A

    Duties and Responsibilities

    1. Kuandaa vitendanishi (reagents) vya kufanyia vipimo vya Maabara;
    2. Kufanya kazi za awali sampuli zinazoletwa maabara;
    3. Kukusanya damu kutoka kwa wagonjwa na watu wanaojitolea;
    4. Kurekodi matokeo ya vipimo kwenye regista;
    5. Kutayarisha vifaa vya kazi;
    6. Kuhifadhi kwa mujibu wa taratibu sampuli zote zinazohitaji kuhifadhiwa baada ya uchunguzi;
    7. .Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake.

     

    Qualifications

    Kuajiriwa wenye Astashahada ya sayansi ya Maabara za Afya kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali na awe amesajiliwa na Baraza la Wataalam wa Maabara.

    How to Apply

    Submit your application through the official Ajira Portal. Use the advert reference above if the portal opens at the vacancies list.