Job Overview
Employer: MDAs & LGAs
Advert reference: Ajira #13488
Role: MTEKNOLOJIA MSAIDIZI – RADIOLOJIA (ASSISTANT TECHNOLOGIST -RADIOLOGY II)
Open posts: 10 positions
Published: 13 June 2026
Deadline: 26 June 2026
Salary scale: TGHS – A
Duties and Responsibilities
- Kufanya kazi za kupokea na kupima wagonjwa katika maeneo ya vipimovya mifupa na kifua (chests and Skeletal Radiography);
- Kuandaa dawa za kusafisha picha;
- Kusafisha picha;
- Kutunza mitambo ya X-Ray na ya kusafisha picha;
- Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake.
Qualifications
Kuajiriwa waombaji wenye cheti cha Astashahada katika fani za Radiolojia kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali na ambao wamesajiliwa na Baraza la Waatalum wa Mionzi Tanzania.
How to Apply
Submit your application through the official Ajira Portal. Use the advert reference above if the portal opens at the vacancies list.
