Skip to content
JOBS OPPORTUNITIES June 13, 2026

MUUGUZI II (NURSE II) at MDAs & LGAs

June 13, 20261 min read

Job Overview

Employer: MDAs & LGAs

Advert reference: Ajira #13541

Role: MUUGUZI II (NURSE II)

Open posts: 10 positions

Published: 13 June 2026

Deadline: 26 June 2026

Salary scale: TGHS A

Duties and Responsibilities

  1. Kufanya kazi za kiuguzi za kuhudumia wateja katika jamii, hospitali na      sehemu zote zinapotolewa huduma za afya;
  2. Kusimamia na kuratibu kazi zote za wahudumu wa afya katika sehemu yake     ya kazi;
  3. Kukusanya takwimu na kutayarisha taarifa za utendaji wake wa kazi;
  4. Kutoa huduma kwa wagonjwa majumbani;
  5. Kutoa ushauri nasaha;
  6. Kutoa huduma za kinga na uzazi wa mpango;
  7. Kutoa huduma za uzazi na afya ya mtoto;
  8. Kuelimisha wagonjwa na jamii kuhusu matatizo yao ya kiafya;
  9. Kufuatilia utunzaji wa vitendea kazi katika maeneo yake ya kazi; na
  10. Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi na elimu, uzoefu na ujuzi wake.

Qualifications

Kuajiriwa wenye cheti cha uuguzi cha miaka miwili kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali na kusajiliwa na Baraza la Wauguzi na Wakunga Tanzania

How to Apply

Submit your application through the official Ajira Portal. Use the advert reference above if the portal opens at the vacancies list.

About the author