Skip to content
JOBS OPPORTUNITIES June 13, 2026

TABIBU WA KINYWA NA MENO DARAJA LA II (DENTAL THERAPIST GRADE II) at MDAs & LGAs

June 13, 20261 min read

Job Overview

Employer: MDAs & LGAs

Advert reference: Ajira #13519

Role: TABIBU WA KINYWA NA MENO DARAJA LA II (DENTAL THERAPIST GRADE II)

Open posts: 10 positions

Published: 13 June 2026

Deadline: 26 June 2026

Salary scale: TGHS B

Duties and Responsibilities

  1. Kazi zote zinazofanywa na Tabibu Msaidizi.
  2. Kutambua na kutibu magonjwa ya kawaida.
  3. Kusimamia utendaji wa watumishi walio chini yake na kufanya upasuaji mdogo.
  4. Kushiriki katika kupanga na kutekeleza Huduma za Afya Msingi.
  5. Kushauri na kuhamasisha wananchi kuchangia huduma za Afya za Mfuko wa Afya ya Jamii.
  6. Kuweka kumbukumbu za vifaa na zana za kutolea huduma.
  7. Kuweka kumbukumbu, kuandaa na kutoa taarifa za utekelezaji.
  8. Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi

 

Qualifications

Kuajiriwa wenye Stashahada ya Tabibu wa Meno (Diploma in Clinical Dentistry) kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali, pia awe amesajiliwa na Baraza la Madaktari.

How to Apply

Submit your application through the official Ajira Portal. Use the advert reference above if the portal opens at the vacancies list.

About the author