TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA SONGWE
tangazo la kuitwa kwenye usaili halmashauri ya wilaya ya songwe is an official call for interviews published by Ajira Tanzania on 06 November 2026.
Announcement Details
Announcement type: Call for Interviews
Official reference: 41971fbb-6c60-428d-a419-a829ef1221a1
Tangazo La Kuitwa Kwenye Usaili Halmashauri Ya Wilaya Ya Songwe
Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Tawala Za Mikoa Na Serikali Za Mitaa
Halmashauri Ya Wilaya Ya Songwe
Kumb.Na.HA.188/280/01/3 06/11/2026
Tangazo La Kuitwa Kwenye Usaili
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Songwe anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba
kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 20/11/2026 hadi 21/11/2026 hatimaye kuwapangia vituo vya
kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo. Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo
yafuatayo:-
1. Usaili utafanyika kuanzia tarehe kama ilivyooneshwa kwenye tangazo hili muda na sehemu ambapo usaili
utafanyika umeainishwa.
2. Kila Msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi.
Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Mkazi, Kitambulisho cha Mpiga kura,
Kitambulisho cha kazi, Kitambulisho cha Uraia, Hati ya kusafiria, Leseni ya Udereva au barua ya
utambulisho kutoka Serikali ya Mtaa/Kijiji anachotoka.
3. Wasailiwa wanatakiwa kufika na VYETI VYAO HALISI, kuanzia cheti cha kuzaliwa, kidato cha IV, Cheti cha awali
cha mafunzo ya udereva, Leseni hai ya Daraja C au E pamoja na cheti kilichowezesha kupatikana kwa leseni hiyo
na kuendelea kutegemeana na sifa za nafasi husika.
4. Wasailiwa watakaowasilisha ‘Testimonials, Provisional Results, Statement of results’, hati za matokeo za kidato
cha IV na VI (‘form IV and form VI results slips’) HAVITAKUBALIWA NA HAWATARUHUSIWA KUENDELEA NA
Usaili.
5. Kila msailiwa atajigharamia kwa Chakula, Usafiri na Malazi. Aidha kila msailiwa anapaswa kuhudhuria usaili akiwa
na mavazi nadhifu na yenye staha kulingana na Waraka wa mavazi.
6. Kwa wasailiwa waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe Vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na Mamlaka
husika (kama TCU, NACTVET au NECTA).
7. Wasailiwa ambao hawajaona majina yao kwenye tangazo hili wanapaswa kuingia kwenye akaunti zao za ‘Ajira
Portal’ na kuona sababu za kutokuitwa kwao ili wasikose fursa wakati mwingine.
8. Wasailiwa wote walioitwa kwenye usaili wahakikishe wanaingia kwenye akaunti zao na kunakili namba ya usaili.
9. Wasailiwa ambao majina yao yanatofautiana katika nyaraka zao wanapaswa kuwasilisha Hati ya Kiapo cha
Kubadili Jina (Deed Poll) iliyosajiliwa na Wizara ya Ardhi.
10. Waombaji wote wa kazi wanakumbushwa kuwa ni marufuku kutoa au kupokea rushwa kwa lengo la kupata ajira au
kupangiwa kituo cha kazi. Mchakato wa ajira unazingatia misingi ya haki, usawa, na uwazi, kwa kuzingatia sifa
stahiki zilizoainishwa katika tangazo la kazi husika na muundo wa utumishi wa idara inayohusika.
Ratiba Ya Usaili Vitendo
Mwajiri Kada Tarehe Ya Usaili Mahali
Halmashauri ya Wilaya ya DEREVA DARAJA II 2026-11-20 07:00:00 OFISI YA MKURUGENZI
Songwe (DRIVER II) MTENDAJI HALMASHAURI
Ya Wilaya Ya Songwe
Halmashauri ya Wilaya ya MWANDISHI MWENDESHA 2026-11-20 07:00:00 OFISI YA MKURUGENZI
Songwe OFISI DARAJA LA II MTENDAJI HALMASHAURI
(Office Management Ya Wilaya Ya Songwe
Secretary Grade Ii)
Ratiba Ya Usaili Mahojiano
Mwajiri Kada Tarehe Ya Usaili Mahali
Halmashauri ya Wilaya ya DEREVA DARAJA II 2026-11-21 07:00:00 OFISI YA MKURUGENZI
Songwe (DRIVER II) MTENDAJI HALMASHAURI
Ya Wilaya Ya Songwe
Halmashauri ya Wilaya ya MWANDISHI MWENDESHA 2026-11-21 07:00:00 OFISI YA MKURUGENZI
Songwe OFISI DARAJA LA II MTENDAJI HALMASHAURI
(Office Management Ya Wilaya Ya Songwe
Secretary Grade Ii)
1
Mwajiri: Halmashauri Ya Wilaya Ya Songwe
Kada: Dereva Daraja Ii (Driver Ii)
Tarehe Ya Usaili Wa Vitendo: 2026-11-20 07:00:00
Mahali: Ofisi Ya Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri Ya Wilaya Ya Songwe
Tarehe Ya Usaili Wa Mahojiano: 2026-11-21 07:00:00
Mahali: Ofisi Ya Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri Ya Wilaya Ya Songwe
. .
1 BARAKA TRECEPHORY P.O Box 162, 2 JEREMIA SAMWEL P.O Box 1249,
Ngole Iringa Chidyaka Dodoma
3 WILLIAM ALFRED P.O Box 135, 4 JUNIOR BRUNO P.O Box 73, MBEYA
MSOFE Mbinga, Ruvuma MWAIJANDE
5 JOSEPH EUPHRAHIM P.O Box 0, DAR ES 6 GABRIEL SAMSON P.O Box 362,
UHINGA SALAAM NYELLA Dodoma, Dodoma
7 MUSSA KASSIM P.O Box 16120, 8 ALLY KHATIBU MFAUME P.O Box 15113,
Chambo Dar Es Salaam Dar Es Salaam
9 FATIUS FULGENCE P.O Box 307, 10 MARTIN SAIKO P.O Box 49,
ALOYCE Nyamagana, SIMWASITA DODOMA
Mwanza
11 CHRIS SILVIN MAJENGA P.O Box 52, 12 VICTOR WINSTON P.O Box 28001,
Kilimanjaro Chengula Pwani
13 GODLOVE FRANK P.O Box 405, 14 RAMADHANI SHABANI P.O Box 6314,
MALEKELA NJOMBE NESI Mbeya, Mbeya
15 YASINI ISMAILI JAFARI P.O Box 350, 16 CALVIN ATHANAS P.O Box 6369,
Dodoma, Dodoma NIBENGO MWANZA
17 SHAFII HAMISI P.O Box 23, Liwale, 18 MUSHOMARI SHEHA P.O Box 2958, DAR
NAMPELA Lindi GOGO ES SALAAM
19 YAHAYA MWINYIALLY P.O Box 1249, 20 BWIRE ELIAS MARINDI P.O Box 24, MARA
Yahaya Dodoma
21 HUSSEIN SALEHE P.O Box 617400490, 22 ERICK PAULO P.O Box 743,
KATAMBO DAR ES SALAAM KINEMELO Arusha, Arusha
23 JASTINI PETRO HAMISI P.O Box 149, 24 AMIRI MBARAKA HAMZA P.O Box 149,
MBEYA Mbeya, Mbeya
25 JOSEPH DEOGRATIUS P.O Box 20950, 26 STEPHENE MHANDO P.O Box 31902,
KASALA Ilala, Dar es Salaam MANDIA DAR ES SALAAM
27 JOHN JULIUS ISAKA P.O Box 1629, 28 JANUARY RUVUNAGU P.O Box 72, Kasulu,
DODOMA MUDUGO Kigoma
29 NEEMA DANIEL P.O Box 30112, 30 NELSON PETER SHAYO P.O Box 200,
Magambo Pwani Iringa
31 STANLEY NESTORY P.O Box 992, 32 JACKSON EXVERY P.O Box 71,
Mujunangoma Morogoro Nchimbi Ruvuma
33 KASTORY ERNEST P.O Box 9, KIGOMA 34 THOMAS DARUSHI P.O Box 19,
Mkanda Masunga Tabora
35 LEONARD GEORGE P.O Box 1249, 36 LONGINUSS ODDO P.O Box 7, NJOMBE
Mayembuka Dodoma Ngundala
37 EMMANUEL JOSEPH P.O Box 187, 38 JAFFAR SAID KOMBO P.O Box 9094, DAR
Sadala Rukwa Es Salaam
2
. .
39 MZEE ADINURI MZEE P.O Box 287, 40 BARAKA FRANK MTEI P.O Box 56,
Dodoma Singida
41 FRANK DAMIAN P.O Box 39, Newala, 42 FRIDAY FRANK P.O Box 468,
CHOLLA Mtwara MWANYINGILI MBEYA
43 ZAKAYO ERNESTI P.O Box 216, 44 GODFREY PANCRAS P.O Box 55,
BUKURU Mpanda, Katavi MBELLE RUVUMA
45 MISHITA BARAKA P.O Box 1249, 46 STEPHEN KAHEMA P.O Box 1928,
Mishita Dodoma Mashenene Dodoma
47 ARONUS EDWARD P.O Box 2, 48 GIFT OSCAR ACHIULA P.O Box 259,
Mwakamele Songwe Dodoma
49 MAGAFU LAZARO P.O Box 175, 50 EXAVERY MUSA P.O Box 102,
Sungura Mwanza Ramadhani Songwe
51 MOSES SEIF KILINDO P.O Box 35092, 52 HAMAD SELEMAN P.O Box 1249,
Pwani Mnyeke Dodoma
53 ABDALLAH MUSSA P.O Box 2228, 54 ARAFAT SALUM P.O Box 84,
Salimini Dodoma Nassoro Tabora
55 FELIX STEPHEN P.O Box 146, 56 RASHID HASSAN P.O Box 216, DAR
Kimilike Iringa Luhala Es Salaam
57 ALLEN GERALD P.O Box 2516, 58 MARKO KATELE P.O Box 20950,
MPELEMBWA Mbeya, Mbeya MUHUMBA DAR ES SALAAM
59 BARIKI RUBENI YAREDI P.O Box 1249, 60 LUTIMO ELIUD P.O Box 9091,
DODOMA MWAKAWANGA Temeke, Dar es
Salaam
61 RASHIDI MOHAMEDI P.O Box 46343, 62 PHIDELICE PHILIP P.O Box 84,
Lyowa Dar Es Salaam Sulle Arusha
63 DANIELY HUMPHERY P.O Box 517, 64 PETER JOSEPH P.O Box 148,
Malisa Dodoma Kasumeni Mbeya
65 IDDY ALLY MGAZA P.O Box 73, DAR 66 DEODATHUS DISMAS P.O Box 187,
Es Salaam Simwela Rukwa
67 COELESTINI STEPHANO P.O Box 223, 68 SHADRACK JATSONI P.O Box 11, IRINGA
Makwai Iringa Kibona
69 DANIEL THOBIAS P.O Box 203, 70 KHALIDI SHABANI P.O Box 4912,
MAGANGA Rungwe, Mbeya MTORI Dodoma, Dodoma
71 NICHOLAUS DAMAS P.O Box 44, 72 RAFII MSUMARI JAMBIA P.O Box 100,
KATOLE KIGOMA Temeke, Dar es
Salaam
73 RAMADHANI SHOMARI P.O Box 0, DAR ES 74 ELIAS PAULO NINGA P.O Box 776,
Kibwana Salaam Dodoma
75 ANNACATHERINE P.O Box 1968, DAR 76 OSWARD ZACHARIA P.O Box 3,
Stamford Hicka Es Salaam Mwenda Songwe
77 AYONGELE ARKIPO P.O Box 31902, 78 WILLIAM JULIUS P.O Box 441,
Ikwataki Dar Es Salaam Ndossa Dodoma
79 MUSSA MFAUME UTALY P.O Box 5555, 80 THEONEST SHILING P.O Box 149,
MBEYA GREGORY Mbeya, Mbeya
81 NEEMA JOHN P.O Box 36009, 82 DENIS JOHN MSHANA P.O Box 87, Ilala,
KAMBICHA DAR ES SALAAM Dar es Salaam
83 HUSSEIN ALLY P.O Box 0, PWANI 84 NSAJIGWA KAINI P.O Box 599,
ATHUMANI KIBWEJA Mbeya, Mbeya
3
. .
85 KARIMU HAMISI P.O Box 03, 86 FRANK JOHN MGEJA P.O Box 90049,
TARATIBU Tandahimba, Mtwara DAR ES SALAAM
87 AWARD KOMBO DAWA P.O Box 1910, 88 GABRIEL AMOSI P.O Box 10,
Mbeya Mbwana Morogoro
89 ABDALAH AMINI P.O Box 7058, DAR 90 FADHIL BONIFACE P.O Box 98,
Masongela Es Salaam Zakayo Morogoro
91 SALIMA PAUL P.O Box 73, 92 JESCA JOHN KILEO P.O Box 318,
NYANGWA Chunya, Mbeya KILIMANJARO
93 AGUSTINO HAGAI P.O Box 1574, 94 DAUDI NYAMANYINYI P.O Box 03,
SOWA Moshi, Kilimanjaro WAITERE Kalambo, Rukwa
95 CHRISGONAS JOHN P.O Box 1068, 96 PHILEMONI EMANUELY P.O Box 47,
MSASA Arusha, Arusha MASSI DODOMA
97 AMBWENE EDSON P.O Box 107, 98 PETER TIMOTH P.O Box 149,
Mwansasu Ruvuma Mwakajila Mbeya
99 DAMIAN JACKOBO P.O Box 705, 100 SYLVESTARY P.O Box 135,
MABINA Ubungo, Dar es ANGELUS LUPOGO Mbinga, Ruvuma
Salaam
101 DICKSON JUSTINE Shinyanga 102 ALBERT GREGORY P.O Box 315,
Paul Werema Dodoma
103 ERNEST NELSON P.O Box 972, 104 DAUDI PATRICK MTIMA P.O Box 166,
Mwambuga Mbeya Morogoro
105 WILLIAM PHILIPO P.O Box 73, MBEYA 106 BAKARI HUSSEIN P.O Box 36009,
MNKENI NZEBA Kigamboni, Dar es
Salaam
107 JAFAR HAMIS P.O Box 2552, 108 DICKSON ELIA KILONZO P.O Box 232, MARA
Mtwaenzi Mbeya
109 JOSEPH NDALILE P.O Box 891, 110 BAKARI HAMZA Pwani
Chambalo Dodoma Mpendu
111 EWALD OSWALD MOSHI P.O Box 420, 112 FRANCIS OSIAH P.O Box 216,
Dodoma Mwasomola Katavi
113 AGUSTINO KASTORI P.O Box 0,
Saqware Songwe
4
Mwajiri: Halmashauri Ya Wilaya Ya Songwe
Kada: Mwandishi Mwendesha Ofisi Daraja La Ii (Office Management
Secretary Grade Ii)
Tarehe Ya Usaili Wa Vitendo: 2026-11-20 07:00:00
Mahali: Ofisi Ya Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri Ya Wilaya Ya Songwe
Tarehe Ya Usaili Wa Mahojiano: 2026-11-21 07:00:00
Mahali: Ofisi Ya Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri Ya Wilaya Ya Songwe
. .
1 CATHERINE KABULA P.O Box 92, DAR 2 MAUREEN MASHAURI P.O Box 40060,
Bundala Es Salaam Masala Dar Es Salaam
3 MWAJUMA SHAFII P.O Box 92, 4 JENIFA KIUREI P.O Box 15046,
Rashidi Mtwara Meshekini Arusha
5 EDINA ORESTO P.O Box 13408, 6 MAYASA MOSES P.O Box 149,
Mwenzegule Dar Es Salaam Mwasubila Mbeya
7 AGNESS JOSEPH P.O Box 229, 8 VAILET JACKOBU P.O Box 149,
Mgala Rukwa Salum Mbeya
9 MAEMBA MGANGA P.O Box 321, MARA 10 FLORIANA AMONI P.O Box 22,
Chiuni Mtipuliri Morogoro
11 TREZIA BENDA P.O Box 196, 12 AKWINATHA ALOIS P.O Box 26,
Mvukiye Kigoma Komba Tabora
13 ADVELLA ZACHARIA P.O Box 20, 14 JANETH ALPHONCE P.O Box 0, MBEYA
Joachim Mwanza Masimbani
15 NEEMA RAMADHANI P.O Box 55068, 16 MARIATH ASIMWE P.O Box 2, KAGERA
Sadiki Dar Es Salaam Japhal
17 KULUTHUMU RAMADHA P.O Box 10, PWANI 18 ZENIA WILLIAM P.O Box 97, DAR
Ni Ibrahim Kiharanya Es Salaam
19 ZUBEDA ATHUMAN P.O Box 174, 20 SABINA DOMINICO P.O Box 11030,
AMAN TABORA JOHN Ilemela, Mwanza
21 MAGRETH JEREMIA P.O Box 1112, 22 ELIDA WILLIAM P.O Box 1249,
Emanueli Dodoma Saideya Dodoma
23 AGNES PETRO P.O Box 70, 24 RAHELI PETER P.O Box 20, TANGA
Mangilaine Kagera Shekigenda
25 SIFAEL ROJAS P.O Box 660, 26 EMANUELA WILLIAM P.O Box 187,
Silwimba Songwe Mgogo Rukwa
27 MARIAMU SAIDI P.O Box 149, 28 LOVENES BUCHUMI P.O Box 174,
Ngereza Mbeya Nyantabo Tabora
29 DORICE ALFRED P.O Box 149, 30 ASHA HAMISI MKOPI P.O Box 329,
Mwaijele Mbeya Tabora
31 MONICA WILLIAM P.O Box 352, GEITA 32 AVIA LAURENT P.O Box 300,
Sumuni Laurian Tabora
33 JENIPHER MGENDI P.O Box 2, MARA 34 QUEEN ELIBARIKI P.O Box 7229,
Mgendi Sarakikya Arusha
35 ELENZIAN MATIAS P.O Box 118, 36 MWANAIDI HATIBU P.O Box 0, TABORA
Mapunda Ruvuma Salimu
37 JACKLINE SHABANI P.O Box 126, MARA 38 CHRISTINA ALEX P.O Box 155,
Mafuru Sanga Njombe
5
. .
39 EDISONI DISMAS P.O Box 149, 40 NOVATH MWIJARUBI P.O Box 1207,
Mmbughu Mbeya Elijason Mbeya
41 IRENE ALEX P.O Box 14122, 42 CHAUSIKU JUMA P.O Box 174,
Mnyagatwa Dar Es Salaam Nicodem Tabora
43 GISBETH FILBETH P.O Box 149, 44 LEILA BONIPHACE P.O Box 20950,
Stansilaus Mbeya Richard Dar Es Salaam
Limetolewa Na;
Mkurugenzi Mtendaji
Halmashauri Ya Wilaya Ya Songwe
6
Official Source
Verify names, dates, requirements and instructions in the official PDF published by Ajira Tanzania.
Opportunity status: Deadline not provided
